Mambo muhimu kuhusu Clinical Officer (Afisa Tabibu)

Mambo muhimu kuhusu Clinical Officer (Afisa Tabibu)

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Clinical officer ni daktari mwenye elimu ngazi ya diploma. Nina maswali nataka kujua kuhusu clinical officer

1) Je anaweza kufungua duka la madawa (Pharmacy) au mpaka awe na cheti cha mfamasia?
2) Je anatambulika kama daktari?
3) Anaweza kuajiriwa hospitali zaidi ya moja?
4) Anaweza kujiajiri kupitia fani yake?
 
1. Ataruhusiwa kufungua duka la dawa kwa kupata mafunzo ya kuuza dawa(wiki tano inakua, vigezo ni uwe umesoma kozi ya afya na cheti na Umiliki.
2. Anatambulika kama mtabibu
3. Labda kwenye hospitali za binafsi.
4. Unamaanisha kufungua hospitali yake au!,
 
ayo mafunzo ndo wanayaita ADO?
 
1. Ataruhusiwa kufungua duka la dawa kwa kupata mafunzo ya kuuza dawa(wiki tano inakua, vigezo ni uwe umesoma kozi ya afya na cheti na Umiliki.
2. Anatambulika kama mtabibu
3. Labda kwenye hospitali za binafsi.
4. Unamaanisha kufungua hospitali yake au!,
Ana jiajiri vipi nje na kufungua hospitali?
 
Clinical officer anaweza jiajil kwakufungua huduma ya afya kikubwa awe tuu na mtaji.
Anaruhusiwa kusimamia Dispensary tuu akiwa kama clinical officer in-charge but that Dispensary wakati wa usajili kitahitajika cheti cha MO au AMO.
UPANDE wa health centre na hospital supervision ya kituo inakua kwa watu wenye elim zaid yake
 
Back
Top Bottom