Recent content by shamylove

  1. shamylove

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya funcargo!!

    Kweli kabisa Mkuu ... Funcargo Ina body ngumu na oil consumption fresh kabisa
  2. shamylove

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya funcargo!!

    Funcargo ...the best car KATIKA gati hizi ndogo inaspace kubwa sana ndani .... Kuliko hata IST .......Bora funcargo kuliko port au sienta even vitz ...Mimi binafsi Nina Funcargo naipenda sana ... Pia itambuliwe kila mtu ana intrest yake hata ukimiliki Hammer inachangamto zake so kisikutishe kitu...
  3. shamylove

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu matumizi ya unit za umeme kwenye Luku

    27 March .. 2020 Uzi huu umenifaa sana .....thanks kwa ufafanuzi nipo nacalculate hapa ,na sasa ni saa Tisa na dk 37
  4. shamylove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

    I WISH TO TRY IT FOR SURE, its my fantasy
  5. shamylove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo gani la hatari ulishalifanya sababu ya mapenzi?

    hahahaha
  6. shamylove

    JamiiForums Tanzania Kama unaongea lugha ya kingereza vizuri bila kukwama nicheki tufanye kazi

    Is this still available?
  7. shamylove

    JamiiForums Tanzania Epuka kutumia barua pepe kama hizi

    Ni kweli mkubwa ???
  8. shamylove

    JamiiForums Tanzania Kamata Mwizi: Utapeli katika Ajira

    Hamjambo wanajamii !! Leo nimetumiwa msg hii baada ya kuapply nafasi ya customer care kwenye kampuni ya uongo inayojiita QUALITY FIRM kupitia mtandao wa Zoom Ajira siku mbili zilizopita .. Nikawajibu ofisi zao zipo wapi ili nionane nae nimpatie ... (trap) ili nimuone atajibu nn... kimya...
  9. shamylove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Valentines Special Thread 2017

    Onesheni mapenzi mubashara kila siku jamani.. sio valentines day tu basi leo guest zoteee na hotel full ...na bora imekuwa siku ya kazi japo najua mmeshaweka booking kama nawaona hiviii afe kipa afe beki ... HAPPY VALENTINES DAY EVERBODY..NAWAPENDA WOOTE
  10. shamylove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni urefu gani ndo mtu anakua considered kama ana kibamia?

  11. shamylove

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dunia (earth)

    Hahahaaaa
  12. shamylove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni urefu gani ndo mtu anakua considered kama ana kibamia?

    Mimi nadhani inategemea na partner wako ana umbile gani ..kama ana maumbile madogo ww pia itaona ni tyt ....
  13. shamylove

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    hhahahahhaha
  14. shamylove

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

    Najiona mimii
  15. shamylove

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya kifaa cha microchip

    Wote nimewaelewa ..ila nimeomba ufafanuzi kujua juu ya kifaa hicho kama kinarelate na ile chapa iliyoandikwa kwenye biblia na msaafu ,ya anti christ yaani 666 nimeona barcode 666 na kinawekwa mkononi au katika paji la uso....IS IT TRUE NI MAMBO YA NEW WORLD ORDER ???
Back
Top Bottom