Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
Kama mwanaume also be romantic basi sio unaleta usela usela wa kipuuzi be a gentleman, slow music kwa mbali it real work..kauli nzuri pia am ur gal not a prostitute so treat me right . Wanaume wengine wana kauli kavu zenye kuboa. Kabla hamjaanza shoo tayari ameshakutibua na kauli zake kavu.
dah nimecheka mkuu Mungu anakuona!!!
 
Kikubwa ni kupendana kama mnapendana basi miili yenu inakuwa na connection kubwa kama sumaku. So fall in love na mtu sahihi sio ku fake mapenzi. Wanawake wa mjini wanapenda pesa kitu ambacho kinamtoa akili yake wakati wa tendo maana anawaza shughuli imalizike apewe pesa. Lazima huwezi kusikia utamu tuliza akili uone utamuu utakao pewa. Kikubwa kuwa na mtu chaguo lako na mtu sahihi na mwanamke ukimpenda mwanaume hana haja ya kukuandaa sana. Maana ukimuona tu au akikugusa tu unajikuta tayari umeshalowa. Mwili wa mwanamke umejaa hisia so cheza na saikolojia yake mpe maneno mazuri, spoil her na mfanye ajisikie ni mtu special. Mkiwa kwenye gari jaribu kucheza nae michezo midogo midogo, akiwa anapika msogelee mkumbatie kwa nyuma, mkienda kuoga ogeni wote na mara nyingine mshtukize kwa kumng"ata hata tak" au maziwa mkiwa ndani wenyewe. Hii inasaidia kumuandaa kisaikolojia. Tatizo linakuja mnakutana wote hamna mapenzi mwanaume anawaza ngono mwanamke anawaza pesa. Hata mahaba hakuna kati yenu kwa hali hiyo mtaendelea kusikia mapenzi kwa wenzenu tu.
Jasnira we ni fire i salute cio kwa mapoint hya kwa kweli HISIA!!ukimaliza!!
 
Labda unakutana na wanawake wa hovyo hovyo hawajui kujiweka usafi lakini ukikutana na mwanamke kamili mbona mwenyewe utalamba unyayo na kunyonya vidole vya miguu...
Ahahahhahaaaaa nimeipenda hii kila mtu anawaza yake jjaman hata kukutana haileti hisia kweli mapenz watayasikia kwa jirani tuu
 
Wanadhania mapenzi ni ujanja ujanja wasifanye masihara na hisia u cant fake it... Hisia ni kitu kikubwa sana mnapokuwa mmependana kweli hisia zinakuja automatically. Lakini kidume anawaza ngono na kijike kinawaza pesa tu. Yaani kila mtu anawaza yake katu hamuwezi kuenjoy sababu hakuna chemistry baina yenu badala ya kufanya mapenzi mnajikuta mnafanya biashara. Mapenzi bila Mahaba ni kazi bure.
 
Kikubwa ni kupendana kama mnapendana basi miili yenu inakuwa na connection kubwa kama sumaku. So fall in love na mtu sahihi sio ku fake mapenzi. Wanawake wa mjini wanapenda pesa kitu ambacho kinamtoa akili yake wakati wa tendo maana anawaza shughuli imalizike apewe pesa. Lazima huwezi kusikia utamu tuliza akili uone utamuu utakao pewa. Kikubwa kuwa na mtu chaguo lako na mtu sahihi na mwanamke ukimpenda mwanaume hana haja ya kukuandaa sana. Maana ukimuona tu au akikugusa tu unajikuta tayari umeshalowa. Mwili wa mwanamke umejaa hisia so cheza na saikolojia yake mpe maneno mazuri, spoil her na mfanye ajisikie ni mtu special. Mkiwa kwenye gari jaribu kucheza nae michezo midogo midogo, akiwa anapika msogelee mkumbatie kwa nyuma, mkienda kuoga ogeni wote na mara nyingine mshtukize kwa kumng"ata hata tak" au maziwa mkiwa ndani wenyewe. Hii inasaidia kumuandaa kisaikolojia. Tatizo linakuja mnakutana wote hamna mapenzi mwanaume anawaza ngono mwanamke anawaza pesa. Hata mahaba hakuna kati yenu kwa hali hiyo mtaendelea kusikia mapenzi kwa wenzenu tu.
That's true for beginners..... Kadri mnavyoishi mapenzi yanabadilika... Kutoka kwenye physical attraction and mingling to more psychological approach. Kwa mfano mwanamke aliepevuka atapima mapenzi kwa kuangalia kiasi gani unamheshimu, unamsikiliza,unajali ndugu zake, na mambo kama hayo..... Mwanamme atapendwa kwa vigezo kama hivyo.
 
Asikudanganye mtu hakuna roho kongwe... Ni aina ya mapenzi yenu mtakavyo amua kupendana. Umeona ya michelle na Obama??.. Tatizo linaanza hapo mnapoanza kujifanya mmezoena sana kiasi kwamba yale mlikuwa mnafanya zamani mnaacha. Siku hizi sio ajabu kukuta wapenzi wamekaa pamoja lakini kila mtu yuko busy na simu yake whatsApp.. Hivi kuna raha zaidi ya kuwa karibu na umpendae??.. Trust me ni mapenzi yenu kuamua mnayaendesha vipi?..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom