shamylove
Member
- Oct 4, 2016
- 35
- 44
Hamjambo wanajamii !!
Leo nimetumiwa msg hii baada ya kuapply nafasi ya customer care kwenye kampuni ya uongo inayojiita
QUALITY FIRM kupitia mtandao wa Zoom Ajira siku mbili zilizopita ..
Nikawajibu ofisi zao zipo wapi ili nionane nae nimpatie ... (trap) ili nimuone atajibu nn... kimya
nikipiga simu inaita tu ..mwisho wa siku wamezima...
Duhh kweli mjini Mshule jiulize wangapi wametapiliwa kwa njia hii ?
We need to do something abt this...Tunarudishana nyuma sana.
Tuwe makini sana.
MSG NI HII NIMETUMIWA ....
NAMBA ZAO NI
0678 412197
Helo, am Mr. George from QUALITY FIRM tupo kwenye kikao cha dharura tunapitia CV za kuinterview for CUSTOMER CARE(EXECUTIVE) post, cv yako nzuri ntakusaidia upate hii kazi kwa masharti haya, salary ni 800,000(take home). 1st salary utanipa laki 2 kwa kukusaidia na kabla ya saa 10 jioni uwe umetuma sh. elfu 25 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email, nitakupigia simu nikitoka kikaoni.