Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

Wakati nikiwa mdogo niliambiwa na wazazi kuwa wale kwenye picha ni Bikira Maria na Mtoto Yesu.na mpaka leo naamini hivyo,anaebisha atuambie ni nani
 
U
Lakimi mkuu mbona hiyo picha sio mimi tuu nimeiona kila umaemuuliza anakujibu jibu sawa na mwingine hilo hilo
Utotoni tuliaminishwa eti yule no mwanamke amebeba mtoto Na mzigo wa kuni kichwani aligañdishwa mwexini kwakua alifanya kazi hyo siku ya sabato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom