Recent content by SHAMTE

  1. S

    Acheni ushabiki wa Usimba na Yanga, Jerry Muro yupo sahihi uchawi upo na watu wanalogwa

    Tuweni makini sana hasa kipindi hiki.juzi tu wameingia klabuni leo wanataka kuambatana na timu wao timu yao inacheza ligi mapenzi hayo yametoka wapi muda huu?
  2. S

    Acheni ushabiki wa Usimba na Yanga, Jerry Muro yupo sahihi uchawi upo na watu wanalogwa

    Jamani wana Yanga imekuaje tena Muro mnakubali kuambatana na Simba ZIMBABWE wakati tunajua hawa wanatafuta kutushusha kwenye ligi na kusajili wachezaji wetu? Hamuoni wanatafuta jinsi ya kuwakaribu na timu yetu ili wapenye kwa wachezaji? Kuweni makini na hili.
  3. S

    Yanga hali si shwari hata kidogo

    Hivi hao wachezaji wamesajiliwa jumapili? Na kama walisajiliwa zamani kwanini hatukusema haya? Kwanini hatukusema haya wakati tunashinda? Tuangalie maslahi mapana ya timu: 1: Kombe la Shirikisho 2: Ubingwa ligi ya Tanzania. Ligi ikiisha tutajadilia haya kwakua kuna muda wa usajili. Sasa hivi...
  4. S

    Mwanamke huyu ananifaa?

    mzee fanya mipango yako tu hapo kuna jambo zito.Mpotezee kwa muda atajirudi tu.
  5. S

    CHADEMA, Kikwete uso kwa uso 27th Nov 2011

    Hayo ni maneno ya mkosaji mzee.Ungekua uko rational usingekuja na ideas za ajabu kama hizi.
  6. S

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    ni vizuri tukasikiliza anachoongea
  7. S

    Wanawake Hawapendi nini?

    hawapendi kumchafua chafua, wanataka shughuli kweli kweli mnapokua kazini
  8. S

    Madesa udsm-omba omba mpaka ugaibuni na kiti chake special

    jamanie, ninaomba msaada wa kufungua hii document
  9. S

    Madesa udsm-omba omba mpaka ugaibuni na kiti chake special

    mbona jamani hii attachment haifunguki?
  10. S

    Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi

    Hizi habari zina ukweli?
  11. S

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    jamani wekeni picha hizo tuone hiyo halaiki iliyokuwepo kwenye huo mkutano ili izidi kuwatia hofu chadema.
  12. S

    CHuji kufanya majaribio Galatasalay

    Chuji ni moja wa viungo bora kabisa Tanzania kwasasa kusema kweli na hata katika mchezo wa juzi kati ya Yanga na Al-Ahly alicheza mchezo mzuri sana.KILA LA KHERI CHUJI.
Back
Top Bottom