Recent content by shakwenya

  1. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tuonyeshe iyo tweet?
  2. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sawa mzee wa talent id[emoji23][emoji23] huna baya..unajua vipaji vyote ulaya... mchambuzi makini.... formation zote unazijua sky sports tu hawajakuona
  3. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Talent ndio nn maana unaongea hiki kitu muda sana? Au kuna namna ss hatuangalii mpira sawa na ww
  4. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    "Hujui mpira bro" hii kauli itakumbukwa kwenye hili jukwaa
  5. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hujui mpira...ww unamuongelea cr7 ambae hakuna timu ya Europe iliyomtaka hata akiwa huru
  6. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwan we huoni wan bisaka ka improve sana regardless hajafikia kiwango bora sana lakn pia ni kutokana na performance ya timu...au ww saiv dalot na bisaka upande ule bora yupi acheze kati yao?
  7. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Target gan hazieleweki angalia taget za kocha Nunez Gapko De jong Tobido Ambrabat Alafu angalia baada ya kuwakosa inabidi atafute solution za muda mfupi zima moto kina wehghost Apo kuna wachezaji tunanashindwa kuwa sajili sababu ya kuanza kubargain mfano n Nunez na hyo gapko Hata sajili...
  8. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ww kwan hao wachezaji unaosema ww n wazima wamekuja mkocha wangapi na performance yao ili badilika? Sasa unamtupiaje lawama kocha...apo sajili zifanyike hata saba mafuta yatajitenga na maji tu
  9. shakwenya

    Mwajiriwa nataka nifungue biashara ya ps, mchanganuo wangu huu hapa, naombani mnirekebishe na kunipa ushauri

    Wazo n zuri lakn cha muhimu location ya biashara na target ya wateja wako ni wap Kwenye mchanganuo wako Gharama kuna vitu havina uhalisia Game dk 10 n 500k Luku per day 3000x30=90000 Kingine kama ww sio msimamizi wa biashara hii n ngumu sana kuona faida yake
  10. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tulianza na maguaya sasa n degea na lipo wazi ambae atufai anatakiwa akae pembeni
  11. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kaka tuanze kwanza na mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja de gea ni mbovu sana huna cha kumtetea juu ya performance yake tena hata izo unazosema anaokoa mara nyingi unakuta makosa ni yake...kuna namna ww unaangalia mpira kwa angle isiyo sawa
  12. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sijakuelewa unaongelea mpira au roho mbaya zidi ya man u[emoji16]
  13. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kama hauoni tatizo upo nyuma sana kuhusu mpira umebadilika sana...ww huoni de gea ameshinda golden gloves lakn anaongelewa kama kipa mbovu...hujiulizi kwann anaongelewa na kocha ameshatoa kauli tata kuhusu nafasi yake
  14. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hivi uyo KIM mbona hana tafauti na magwaya sana stat zina mbeba lakn uchezaji wake n ule ule mzito kama wlivyo magwaya tu fuatilia utaona
  15. shakwenya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mmh hatuwezi kusajili beki wa kati wawili na wakati huo huo tunasajili kipa nafikir wataangalia sehem muhimu zaid...alafu saiv Manchester imebadilika sana kulinganisha na misimu ya nyuma kwenye soko la usajili hatuna tetesi nyingi kama ilivyokuwa awalii..hizi tetes za mount huenda ni za kuongeza...
Back
Top Bottom