Recent content by shakurikimboka

  1. S

    JamiiForums Tanzania TBT: Kati ya P Funk, Mikka Mwamba, Master J na Bony Luv, Mtayarishaji gani alikuvutia kwenye kazi zake enzi hizo?

    Huyu mzungu (Mika) aliwezaje kutengeneza ngoma ya asili Maria Salome, yani mule zinapigwa ngoma za asili kabisa au maisha yake kabla alizaliwa mzaramo?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

    Hivyo kama wanamichezo waliofuzu kwenye nchi yao ni 9 ulitaka wengine waende kushiriki kilazima au waende tu kwa wingi kama ufahari bila kushiriki? Makocha hata wangeenda 900 hao ndio wataenda kujifunza mbinu kutoka timu zilizo bora na watafaidika zaidi kwa kuwa sehemu ya tukio kuliko...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

    Haha. naona Sergio kapigwa ban na uzi ndio umeishia hapo. Baada ya miaka mitano nataka nikachukue cheti changu pale, hadi sasa ntakuwa nadaiwa kama 15k hivi ya file masijala huwa wana charge buku3 kwa mwaka, Kwa ambao hamjachukua cheti bado au mnaotaka kwenda kutembelea shule yetu ni vema...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Mimi kwa sasa namkubali jamaa mmoja anaitwa Baron Corbin na KO yake End of Days ni kali mno. Top10 yangu ya wrestlers wa muda wote toka dunia ianze na hawatakuja kutokea tena hadi mwisho wa WWE (pia hii top10 haina upinzani kwa anaejua mieleka toka WWF) 1.Gold Berg 1.Curt Angle"The Olympian"...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    bila shida GPA tu iwe nzuri
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wanavyoionea Somalia na kuinyonya kama Wakoloni

    Huyo Netanyahu ni mkristo? mbona wewe ni kilaza sana? au hiyo bongo yako haifanyi kazi? mbona unataka uichukulie Marekani kama nchi ya kikristo una akili kweli wewe? bora hata uongeongelea EU maana inajilikana historia yao na vita vya msalaba ila sio Marekani
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda tuungane kusaidia wenzetu Wakenya waliokumbwa na baa la njaa

    Uyo ajuza asikuchanganye na hilo jina la kizungu ni kibungo kichizi tena njaa kali hapo alipo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania ni definition gani ambayo huwezi kuisahau?

    First aid kit is a small box containing items such as bandages, plasters, and water for use in giving first help to a sick or injured person before going to hospital. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania ni definition gani ambayo huwezi kuisahau?

    Statement of the assets, liabilities, and capital of a business or other organization at a particular point in time, detailing the balance of income and expenditure over the preceding period. #Balance sheet Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

    Kuna kipindi nilikuwa na pepa afu nilikuwa nimechoka sana sasa nikajiwekea muda niamkezangu nisome, basi bwana kila nikiamka nasema nalala kidogo hivyo hivyo, Eeh ndugu mara najiona kama nasoma hivi, mara nasolve, mara machora dahh...mambo yalikuwa mengi tena yanakwenda kisawasawa yani naelewa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

    Code name:OP Kikwete Unit: 842 KJ Chenja: Komando chanty Ilikuwa ikipigwa iyo chenja najiona kama nipo havana, cuba katika mafunzo yangu ya mwisho kabisa ya u-field marshal. Ningekumbuka mashairi yake ningeandika hapa ila mambo yashakuwa mengi tena, Tawile makamanda!! Sent using Jamii...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake

    Jamaa hata ku present data katika maandishi anashindwa akat JS Soura tayari anapoint8 huko Simba6 ila huyu kilaza anaandika 1kwa Soura na 5kwa simba atati wote washapita hizo point kwa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa suala la ushoga vyuo vikuu Tanzania

    mambo mengi mengi mengi sana yamerekodiwa humu kitabuni na mengine ntakuwa nimetoka nje ya mada acha niishie hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa suala la ushoga vyuo vikuu Tanzania

    cannibalism hata kongo ilikuwa inafanyika recently tu hawa watu wafupi walikuwa wanaliwa nyama hata ukiwa kongo wenyewe hawakatai kuwa ni tamaduni mbovu zilizopigwa vita huko. mbona unatolea mifano miji ya pwani ambayo inawakilisha mchanganyiko wa jamii mbalimbali ikiwemo warabu, wachina...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa suala la ushoga vyuo vikuu Tanzania

    mkuu report za cannibalism Tz zipo tena sana tu hadithi nyingi tu zinaelezea hicho kitu, pia ukisoma historia ya wakazi wa kwanza wa kisiwa cha mafia utaambiwa waliliwa wote na wala watu kutoka comoro au madagasca hivi(sina uhakika saana na walipotokea) pia unavyojichanganya na kutolea mfano...
Back
Top Bottom