Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Kuna kipindi nilikuwa na pepa afu nilikuwa nimechoka sana sasa nikajiwekea muda niamkezangu nisome, basi bwana kila nikiamka nasema nalala kidogo hivyo hivyo,

Eeh ndugu mara najiona kama nasoma hivi, mara nasolve, mara machora dahh...mambo yalikuwa mengi tena yanakwenda kisawasawa yani naelewa kupitiliza na maswali nayakumbuka na kusolve kirahisi tu, eehhh si ikafika asubuh mida ya sa11 kasoro hivi nashtuka nakuta nimekula matango pori haijawahi kutokea yani vitu nilikuwa navisolve kisengele nyuma, kumbe nilikuwa najidanganya mwenyewe usiku kucha.

dah yale sio maisha kabisa, hii illusion alinipa mwalimu wangu wa hesabu alikuwa anaitwa Bokore yeye anasema alikuwa anauwezo wa kumalizia maswali akiwa ndotoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiwa huwa utulivu kila kitu ndotoni huwa ndoto mbaya,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rakims mke wangu anafanya matendo mengi usiku akilalalkn anakakuwa hakumbuki asubuhi mnaweza ongea usiku ukimwasha akaitikia au kukuamsha halafu then asubuhi hata moja mwisho wake ni pale anapopanda kitandani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikiwa naota huwa naweza kujitambua kuwa nipo ndotoni. Siku moja nilota nipo Mikumi porini. Mbele yangu likaja kundi la simba. Hapakuwa na pa kukimbilia. Nikakumbuka nipo ndotoni. Basi nikamfuata Simba jike kwenye lile kundi nikampiga busu kubwa!. Dume lake linaniangalia tu! Kisha huyo nikawaacha nikaondoka zangu!
 
Nashindwa kuelewa kwanini nikiwa lucidy dreams natoka kwa tabu sana yani mchakato wake ni wa muda mrefu
Nikihesabu vidole ndo kabisa sitoki niki imaging kioo kinatokea na nikijiangalia najiona macho yangu yanatisha kama yanawaka wekundi uliochanganyika na blue wakati mnasema lucid aujioni ila nikijifinya sisikii maumivu kabisa
Lakini nikikwapua macho sana ndo nataka
Kuna siku nilisema sirudi nione itakuwa nikapasuka kama Bomu baada ya kukaa sana ndo nikajikuta kitandani
Nimejifunza mengi lakini sipatagi ninachotaka hata kujikontro ni shida
 
Mkuu hizi ndoto za kujua kuwa unaota nazipata sana hata wiki hii nimeota ila niliitumia siku hiyo kucheza sana angani kwa kupaa.
Kipindi nii mtoto nilikuwa na uwezo zaidi maana nilikuwa naota karibia kila siku na kikubwa ni kuwa kwa mfano, nacheza na watoto wenzangu na ikatokea nikasikia haja ndogo basi nilikuwa naweza kuwaaga na kuwambia naenda kukojoa na nikakurupuka usingizini nikiwa nimebanwa na mkojo kweli, mazingira ya vijiji vingi choo ni cha nje, basi natoka naenda kukojoa narudi ndani nikijitupa kitandani usingizi ukinichukua ni moja kwa moja kwa watoto wenzangu na nawakuta wapo na mchezo uleule na tunaendelea freshi bila tatizo.
Siku hizi hii staili siipati tena sana naishia kujua tu kwamba sasa naota na nikishajua mimi hupenda zaidi ugomvi so nazinguana mbaya wakitaka kunizidi basi kuna kitu huwa kinanistua mojakwa moja kabla sijadhurika.
 
Mkuu lucid dream ukiona kitu kama demons na kadhalika unaweza kufukuza ukijiona wewe mwenyewe uko hivyo basi unatatizo ndani yako na unatakiwa ufanye spiritual healing kuweza kutoa hilo dudu, maana lucid dream haizuiliwi ila pale tu mtu anapokuwa na pepo linakuwa linamfukuza asiweze kujua kinachoendelea ndani yake
 
Hao watoto walikua sio wakawaida nikiangalia lucid dream experiences na mafundisho yake hicho unachosema kipo nje mkuu kuna nafasi kubwa ulikuwa ukicheza na majini au watoto wa kichawi

Rakims
 
Mkuu lucid dream ukiona kitu kama demons na kadhalika unaweza kufukuza ukijiona wewe mwenyewe uko hivyo basi unatatizo ndani yako na unatakiwa ufanye spiritual healing kuweza kutoa hilo dudu, maana lucid dream haizuiliwi ila pale tu mtu anapokuwa na pepo linakuwa linamfukuza asiweze kujua kinachoendelea ndani yake
Nashukuru kwa kunishauri mkuu!
Mimi natumia lucidy dream kufanya astral projection na ninatumia technic ya kuamka afu narudi tena kulala
Nishauri kitu kutokana na haya
 
Mkuu mdogo wangu kaota hii ndoto anhitaji msaada wa kuitafsiri. Kaota kapewa box kama zawadi na alipogungua lile box akakuta mashati mapya na saa mpya ikiwa kwenye kibox chake na maganda mawili ya ndizi yenye rangi ya njano. Naomba msaada wako mkuu wa kuitafsiri
 
Mwambie atazaa au kuzalisha watoto mapacha au yupo karibu kufanikiwa kimaisha

Rakims
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom