Recent content by shakur kimboka

  1. shakur kimboka

    Msaada: Nina tatizo la maskio kuunguruma kwa muda mrefu

    Ungejieleza vizuri sikio linanguruma vipi, binafsi nishawahi kupata tatizo kama hilo sema mimi nilikuwa nasikia "siiiiiiiiiiiiiiiiiiii" endelevu na isiokuwa namwisho, mchana unaisikia kwa mbali ila ikifika usiku au ukiwa mahali tulivu basi sauti inakuwa kali zaidi Haina dawa ila unatakiwa...
  2. shakur kimboka

    Nahitaji eneo la Ekari 20 Bagamoyo

    Na wewe una hekari 20 bagamoyo mjini au dalali tu?
  3. shakur kimboka

    Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania, Kuzinduliwa Septemba 15

    Kichwa cha habari na habari yenyewe ni mbingu na ardhi, kwanini usingetafuta kichwa kinachoendana na hayo maelezo uloandika hapo? Au kila kitu ni kiki?
  4. shakur kimboka

    Biashara ya mpunga na mchele

    Katika kilimo cha mpunga kwa sasa Tanzania sio Mbeya na Morogoro tu, mpunga unalimwa karibu kila kanda kuanzia kanda ya ziwa, kaskazini hadi kusini(ruvuma, lindi, mtwara) Kwa sasa Super Kahama ndio mbegu inayotoa mchele bora (super) kuliko mbegu zote mlozoea Morogoro au Mbeya (Mbawambili...
  5. shakur kimboka

    Njoo tubeti kwenye zao la Mpunga

    Ndugu usiwe unakariri mifumo mipunga imekuwa mingi sana mwaka huu wa mavuno bei haiwezi kufika 90k
  6. shakur kimboka

    Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

    Basi nyingi route ya Dar-Mbeya ni mbovu 1. ABOOD 2. HAPPY NATION 3. GREEN LINE 4. RUNGWE 5. MAJINJA. Kampuni za kueleweka ni mbili tu katika route hiyo
  7. shakur kimboka

    Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

    Hasira za nini wewe mgalatia? Je unaweza tueleza kidogo hayo yote ulioandika yana uhusiano gani na topic iliyopo?
  8. shakur kimboka

    Wahenga je hawa ni walimu wako?

    Mwaka Gani?
  9. shakur kimboka

    Namna ya kuanzisha na kufanya biashara ya nafaka

    Achana na mambo ya risk hayana faida, mimi nitajitolea kukuuzia mchele na maharage na kukuletea hadi ulipo
  10. shakur kimboka

    Njoo tubeti kwenye zao la Mpunga

    Yakifika elfu sitini bei yake halali unishtue
  11. shakur kimboka

    Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    Ni ngumu ila inawezekana kabisa, ni A zote kwa mitiani yote utakayokutana nayo shuleni hapo, katika kusoma kwangu nishawahi kukutana na jamaa mmoja aliyepata GPA ya5 katika chuo cha Ardhi ila ilikuwa Masters na sio Bachelor
  12. shakur kimboka

    Kijana mwenye jinsia mbili

    Akapime hormones kama anaweza kuzaa akate ya kiume kama anaweza zalisha afunge ya kike, kama yupo strong psychologically aishi hivyohivyo wanawake ni viumbe dhaifu sana atafute mmoja atakaye mpenda hayo mambo yanaongeleka vizuri tu hasa kwa wasomi
  13. shakur kimboka

    Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

    Wote ni punda na wana uhusiano ki asilia ila mmoja ni bora zaidi akiwa nyumbani na huyu mwingine licha ya uzuri na mvuto wake yatupasa tu abaki porini aendelee kuliwa na simba, fisi mamba nk
  14. shakur kimboka

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Kama ni nyumba ya kuishi tu na sio hoteli au nyumba ya biashara basi hati yake itakuwa ni batili sababu sheria ya ardhi hairuhusu mgeni kumiliki ardhi kama sio kwa lengo la kuwekeza, na kama ni vinginevyo basi watoto wake watapaswa kuandika barua yenye sababu za kukataa urithi kabla ya mwezi ili...
Back
Top Bottom