Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

Inategemea unaenda kusoma chuo gani!

Mfano UDSM ukiwa na A zote wewe una 5.0 ila SUA (na mzumbe kama sikosei), ukiwa na A zote unaweza kuta una 4.5 au 4.6!!

Kwanini?

SUA and the alike hawaangalii tu A wanaangalia una A ya ngapi!! So mtu mwenye A ya 70 au 80 ni tofauti na mtu mwenye A ya 90 au 100!!

Ila kwa UDSM ukiwa na A tu basi hata kama una A ya 80 basi utakua sawa na mtu mwenye A ya 100!!
Hii sio kamba mkuu
 
Tupo nae mmoja hapa kitaa anayo kama hiyo ya petroleum and gas engineering hajapata hata kazi ya kusambaza mitungi ya gesi ya manji
Mjini kila kitu michongo sio GPA
 
Ndio inawezekana mm nilipata 3.8 mechanical engineering diploma lkn

(Kichwa changu nakijua mwenyewe nilikuwa sisomi lkn nikapata hiyo) sasa wanaosoma je?

Ila sijawai kuona hiyo GPA kwa kweli
 
Ni ngumu ila inawezekana kabisa, ni A zote kwa mitiani yote utakayokutana nayo shuleni hapo, katika kusoma kwangu nishawahi kukutana na jamaa mmoja aliyepata GPA ya5 katika chuo cha Ardhi ila ilikuwa Masters na sio Bachelor
 
Tupo nae mmoja hapa kitaa anayo kama hiyo ya petroleum and gas engineering hajapata hata kazi ya kusambaza mitungi ya gesi ya manji
Mjini kila kitu michongo sio GPA
Duuh so sad kweli mkuu au kamba hii 5.0 si mchezo mchezo asee
 
Ni ngumu ila inawezekana kabisa, ni A zote kwa mitiani yote utakayokutana nayo shuleni hapo, katika kusoma kwangu nishawahi kukutana na jamaa mmoja aliyepata GPA ya5 katika chuo cha Ardhi ila ilikuwa Masters na sio Bachelor
Masters ni rahisi kuliko bachelor mkuuu

Alikuwa anapiga course gani alafu nasikia ardhi wengi wanapiga gpa kali kuna ukweli humu au uongo tu
 
Umepiga course gani mkuuu? ๐Ÿค”๐Ÿ˜
Inshu sio course inshu hapa ni GPA ya 5.0
Halafu hizi GPA ndio tunafanya watu wanakuwa mazombie
Hivi mbona watu wanaishi tu tena safi bila hizo GPA's???
Wadau tujiongeze mtaa shauna habari na hizo what is so called GPA
Mtaa unataka hela fweza mtonyo e.t.c
 
Shukrani ila,, au basi
 
Back
Top Bottom