Bunbun
Senior Member
- Dec 17, 2022
- 174
- 207
😳😳😳😳
😳😳😳😳
Kwahiyo mkuu unataka msaada gani?Kwa rafiki yangu ana uume kabisa sio wa kubahatisha wenye kitundu na manii unatoa japo sio nzito, na unasimama kabisa k nayo imejiweka fresh tu
Hakuna cha tatizo la hormones. Yaani mtu afirwe aseme ni tatizo la hormones? Kuna hormones gani zinamtaka awe anafirwa? Niambie tatizo la hormones kwa mwanamke au mwanaume anayependa sana kutiana. But kuingiziwa kitu sehemu ya haja ni hormones gani zinahusika?

nimechekaaaa sanaaa,, ulisoma maelezo yangu vizuri lakini? Au uliishia kubwatuka km hiviii? Sasa kasome tena afu urudi hapa. Sikuwahi kumpiga picha, ila yulee ni uume, had tndu la mkojo lipo.Aweke picha,
Kuna Watu wamefanya ulemavu mtaji
Ukija kuchunguza unagundua anatafta Kiki
Ni Kama yule wa Kenya aliekua anagombea ubunge, wakagundua zilikua Kiki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mengi hujui mkuu, kuwa na matiti alafu mwanaume ipo natural kuwa na ndevu mwanamke ipo natural , kuwa na uume mwanamke ipo natural kuwa na uke mwanaume ipo natural kuwa na zote ipo natural, artificialTransgender au shemale ni wanaume mashoga walioamua kuotesha matiti na matackle na kutumia hormone za kike ili wawe kama wanawake lakini ni mashoga.
Jinsia mbili hiyo ni kesi tofauti kabisa japo siku hizi nchi za wenzetu wanafanya operation wanatoa mb** wanaweka uke ukishasema trans__ inamaana kabadilisha matokeo ya awali sio natural ni shoga
Kwanza mshukuru Mungu kwa kuwa mzima bila kasoro yoyote kama ulivyo, sasa twende kwenye mada.
Kuna kijana mmoja tulikutana kwenye group moja la Dini, baada ya mimi kushusha nondo flani na makala zilizoshiba kuhusu imani na changamoto tulizonazo.
Kijana akaja inbox na ikawa mazoea kunitafuta na kuomba ushauri tu wa kiimani, ila baadae alinifungukia "Kaka maisha yangu siyaelewi nahisi nilizaliwa huku Duniani bahati mbaya. Kaka mimi sio mwanaume kama ninavyojiweka wala sio mwanamke". Nilishtuka sana kisha nikamuuliza kwanini unasema hivyo?
"Kaka mimi nina uume kama mwanaume na uke kama mwanamke na hii siri anayo baba na mama tu. Napata shida sana kujua mimi ni nani, na Dunia itanitambuaje. Natamani sana nife mapema nichoka upweke nilionao. Nimechoka sana kaka na."
Nilimpa pole na kuanza kumuuliza maswali kadhaa kuhusu mwili wake, anapata hedhi kama mwanamke, uume haupo imara sana, anajihisi zaidi mwanamke ila tayari wazazi walimtambulishaga kama mwanaume.
Anatamani zaidi wanaume kimapenzi kuliko wanawake, hivyo anashindwa kujielewa ni upande upi sahihi?
Akaniuliza tena, "Je, nikienda kwa mwanaume sitaitwa shoga na kudharauliwa na kuwa mlaaniwa mbele za Mungu na hata wanadamu. Je sitatengwa? Na je, nikaamua kuwa na mwanamke kwanza ni mwanamke gani atanikubali? Je, sitaitwa msagaji na kuwa mlaaniwa mbele za Mungu na mbele za wanadamu?"
"Kaka nachukia sana maisha yangu, nachukia sana kuzaliwa kwangu Duniani, nimevumilia sana. Nina miaka 25 sasa siijui hatima, naona wivu sana wengine walivyo huru kuoa na kuoana angali mimi hiyo siyo haki yangu wala sifai kuwa miongoni, nishauri nifanyeje?"
Nisaidieni nimshauri nini, alinitumia picha ya jinsia zake pia, nilizifuta baada ya kushindwa kuamini na kuwa mbishi?!
Kitu pekee kitakachomfanya awe huru ni pale atakapompata mtu anayeikubali hali yake na akaishi naye ni faraja kamili.Bado changamoto ipo tu sema Mungu amasaidie.
alikuwa anaitwa musa anakojoa amesimama na sasa ataitwa mwanahamisi na vyeti vyake itakuwaje..
Vipi kwenda kuwasalimia wazazi wake... Ataenda kwa jinsia ya zaman alivyozoeleka au mpya... Nadhani hatakuwa huru bado..
BINAFSI NASHAURI AJITANGEZE AKIWA PALE ALIPO KUWA ANAJINSIA MBILI NA AAMUE KUFANTA ILE ANAYOTAKA...
NA AANZISHE MOVEMENT YA WAO KUTAMBULIKA.. MAANA WATU WA HIVYO WAPO NA WANASHINDWA KIJITOKEZA NA WANAKAA NA DIMWI LA DEPRESSION.
Ngumu sana kupatikana. Dharau na unyanyapaa ni hatari sana kwakeKitu pekee kitakachomfanya awe huru ni pale atakapompata mtu anayeikubali hali yake na akaishi naye ni faraja kamili.
WEWE uliyeletewa hili for the first time wajibika kumsaidia kikamilifu.
Kijana ameaga dunia matatizo ya kibofuHaujazungumzia uwezo wake au wa familia yake kiuchumi ila kama inawezekana, ahamie kwenye nchi inayotambua haki za watu kama hao....
Kijana ameaga dunia matatizo ya kibofuHaujazungumzia uwezo wake au wa familia yake kiuchumi ila kama inawezekana, ahamie kwenye nchi inayotambua haki za watu kama hao....
Pole sana.Kijana ameaga dunia matatizo ya kibofu
Kijana kaaga duniaAkapime hormones kama anaweza kuzaa akate ya kiume kama anaweza zalisha afunge ya kike, kama yupo strong psychologically aishi hivyohivyo wanawake ni viumbe dhaifu sana atafute mmoja atakaye mpenda hayo mambo yanaongeleka vizuri tu hasa kwa wasomi
Vipi karudiDuuh
Among the biggest challenge for human beings in the world.Kwanza mshukuru Mungu kwa kuwa mzima bila kasoro yoyote kama ulivyo, sasa twende kwenye mada.