Jadili kwanza uzalendo wa wabunge wetu ambao wanalamba posho kubwa za vikao mjengoni wakati ndio kazi walioiomba na wanalipwa mshahara mkubwa kwa kufanya kazi hiyo ya kutuwakilisha.
Ulianza kwa kutotaka malumbano ya kidini lakini mwisho unalinganisha ukristo na uislamu. Wengine tukikujibu ovyo usilalamike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania limepitisha sheria yenye adhabu kali ya kifungo hadi miaka 30 kwa mwanaume atakayebainika kujamiana na msichana mwenye umri chini ya miaka 18.
Je, sheria hii itafanya kazi kwenye pande zote za muungano?
Ninajiuliza hili swali kwa sababu upande mmoja...
Nadhani hata wewe una nafasi ya kuitisha mkutano wa hadhara kwa kupitia chama chako nawe ukazungumzia wizi wa mabilioni kupitia Stanbic. Usitake kutumia midomo ya wengine, simama kwa miguu yako.
Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania limeanza vikao vyake leo asubuhi huko mjengoni Dodoma. Nenda ukajionee madada poa na machangudoa waliohamia Dodoma kwa muda kutoka mikoa mbali mbali na sehemu mbali mbali kwa lengo la kutoa huduma ya mapenzi kwa waheshimiwa. Hili ni tatizo kubwa mno.
Umeandika maneno mengi yasiyo na maana. Wale wewe unaowaita wazushi, waongo na kadhalika wameweka data zao hadharani, ambazo wewe umesema ni data za uongo. Wewe hizo zako za ukweli ziko wapi tuzione. Tuambie eka moja huko Kigamboni imenunuliwa kwa kiasi gani? Arumeru nako eka moja ni bei gani...
ST zote zina maana ya Serikali ya Tanzania. Namba zilianza na ST, namba hizo zilipofikia mwisho ndipo zikaanza STA, vivyo hivyo zilipoisha hizo A zikaendelea B,C,D na mpaka sasa siko STL. Upande wa DFP uko vile vile kuwa ni DONOR FUND PROJECT na ilipofika mwisho ndipo zikaanza A yaani DFPA na...
Wewe hebu utufafanulie hapa kulingana na uelewa wako. Robota moja linakuwa na vitenge vingapi na bei zake kabla ya kukurupuka kuwa bei haifiki laki mbili.
Jambo la msingi ujue kuwa hata shule zilizokuwa zinamilikiwa na Kanisa Katoliki zilitaifishwa. Inabidi utofautishe yafuatayo.
1. Seminari ni shule maalum za kuandaa wasomi watumishi wa Kanisa kama vile Mapadri. masomo yaliyo mengi wanayosoma yanaendana na Theolojia na maadili ya kanisa husika...
Sasa hivi tunashuhudia serikali ya awamu ya tano ikiwafikisha mahakamani baadhi ya waliokuwa viongozi wa kada mbali mbali na mawaziri kwa makosa mbali mbali waliyofanya wakiwa madarakani. Swali langu kwako wewe mleta mada. Kuna ugumu gani ama kuna mpango wowote wa kuwafikisha mahakamani wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.