Kwanini nchi moja iwe na Sheria zinazokinzana

Shakidinkili

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
458
174
Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania limepitisha sheria yenye adhabu kali ya kifungo hadi miaka 30 kwa mwanaume atakayebainika kujamiana na msichana mwenye umri chini ya miaka 18.

Je, sheria hii itafanya kazi kwenye pande zote za muungano?

Ninajiuliza hili swali kwa sababu upande mmoja una sheria zake ambazo zinaruhusu ndoa za wasichana hata wenye umri wa miaka 14 ilimradi wazazi waridhie.

Hizi sheria zetu na vyombo vyetu vya kutunga sheria havioni haya?
 
hiyo ni katiba ya jamhuri ya muungano sio ya zanz ndio maana juzi kati hapa waziri wa afya amesema sheria inawarudisha nyuma katika harakati za kumtetea mtoto wa kike kuhusu ngono
 
Back
Top Bottom