Kwenye maelezo yako umelaumu kwamba sii chama cha kibiashara ila unatak faida. 2.Unafahamu kazi ya chama cha wafanyakazi na je huko kwingine wanachama wanachangia au hawachangii 3.hizo Tshirt au majengo yanawafaidisha wanachama wa vyama gani vingine vya wafanyakazi. 4.unafahamu kwamba chama cha...
Let them Go for their Democracy. Siasa ni Ngumu na Longolongo nyingi ila Kwa Bongo imezidi mbona yaonekana kwa macho hata kwa kupapasa waeza kuona wanasiasa ni wanafiki kwa kiasi gani. Haya sisi kazi yetu macho tu kuona yanayojiri siasa imekuwa ni source of income purely kama ilivyo kwa dini...
Yaleyale ya '' Tulichuma wote yanaanza kujitokeza'' Tanganyika ina eneo kubwa idadi kubwa ya watu na maendeleo katika ardhi yake ni makubwa as compared to other part ya Muungano sasa nionavyo mimi baada ya Zanzibar kuwa huru ninahisi hawataridhika na hali waliyonayo kwa dhana kwamba walinyonywa...
Kwani mkuu hivi hiyo OIC ina wanachama wangapi? Na toka imeanzishwa imeathiri vipi imani za dini nyingine na je Zanzibar wakijiunga nayo inaiathiri vipi Tanganyika? Hata kama umesema Pengo kardinali hataki wajiunge na OIC yeye kama kiongozi wa Dini anazuia vipi hilo lisitokee na ambalo lipo...
1. Clouds ni wabunifu sana, kuhusu wao kupewa credit na Raisi sio dhambi. Pia sio dhambi akiwasifia kwa kile wakifanyacho, wamejitahidi kutuonesha fursa wananchi watz. Smything that deserves credit. Kuna wachina wanauza karanga hapa kwetu na bado tunalia unaskini, jambo hili limewafanya wabuni...
chakii acha wivuuu ukiona hata wewe unaizingumzia clouds na unafuatilia details hadi details ujue unaipenda sana, tena tokea moyoni sema una kachembe kawivu. Nakushauri nawe uanzishe media yako halafu itafute sauti ya raisi akisifie halafu uitunze kwenye record zako. CHANGE IS YOU.AND START FROM YOU
Sasa mi naanza kuchoka aisee we jamaa inaonekana tamaa mbele mauti..... kwasababu yule wa kwanza alikuangushia tabasamu ukaahirisha safari mkarudisha funguo ofisini kwake bila hata kumjua jina na lengo lake ka kukwambia umsindikize, baadae tena mmepanda gari jingine umemwona mwingine...
Number of sample spaces ni idadi ya daladala standard zinazooperate ndani ya majiji tofauti hasa Mbeya, Dar ambapo kama gari hiyo ina redio, favourite kipindi kinachosikika ni hicho Xxl so ikiwa hujapend njoo na researxh yako inayothibitisha kipindi pendwa si vibaya ukileta pia report...
Ole wenu ninyi mnaowanyooshea vidole binadamu wenzenu na kuwahukumu. Maana imeandikwa usihukumu nawe usijw ukahukumiwa. Pia kwa wale wanaoona ni wasafi mioyoni mwao wawe wa kwanza kumrushia mawe mzinzi. Kwa leo napita tu
The Boss mi sina neno la kuongeza hapo, yaani kama vile tuandikapo barua ya kuomba kazi au kitu chochote, tunaandika, 'KICHWA CHA HABARI HAPO JUU CHAJIELEZA'. Kila kitu kipo mahali pake ila wanaopaswa kufanyia kazi hawawezi kazi yao hadithi tu. nimependa sana hiko kipengele cha mwisho..... hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.