Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Wakuu Hii kampuni ilianza kwa kasi mno mno, Sina nia ya kuichafua wala kuipaka matope ila wame drop hata siamini kama ndio wale waliokuwa wanatandaza Fiber optical cable, Nimewah hudhulia site zao kadhaa kikazi lakini ilikuwa ni part time kabla ya kuwasha minara yao, Hawa jamaa walionesha njaaa mapema sana mana kati ya makampuni ya mitandao ya simu ni Hio tu ndio niliona Njaa nje nje,
Palikuwa na vietnam njaa kali sana hivo vijamaa na ubishi kibao kiukweli kazi ilikuwa Ngumu, Back to the topic kiuhalisia bandwidth ya Hawa jamaa baadhi ya sehemu imezidiwa Hii inatafasiri, Halotel na Ttcl ni wao tu kama sikosei ndio wanatumia hii technology ya kisasa( Fiber optical cable) kufanya transmission Hivo palipaswa pawe na ufanisi wa juu kabisa mana Base station interconnection sio wireless bali ni wired ambayo ni more efficient,
Kuna Tetesi Kuwa hawa jamaa wanafanya kazi kimazoea kuna mtu aliwah nijuza kuwa mpaka madereva huelekezwa kufanya Technical issue kwa maana ya Minimise costs, Engineer na Technian wa hii kampuni nasikia salary zao ziko chini, nina rafki yangu yeye ni diploma holder amepiga CS (computer science) Hulalamika sana jinsi jamaa wanavyo wa overtime bila malipo ya kuelewaka.
Halotel mbona tuliwaamini sana?