Umegundua nini kwenye picha hii ya mwenge?

Umegundua nini kwenye picha hii ya mwenge?

Moto ambao unaonekano kama picha ya ndege wa rangi nyekundu au jogoo mwekundu aliyesimama.
 
Lazima mkono wa kulia ushike juu na wakushoto ushike chini.
 
Tatizo liko ccm kuufanya ni wa chama na hata kudiverge malengo yake. Kiufupi siwezi poteza sekunde yangu kwa issue ya mwenge.
 
U
DSC_0115.JPG
Utasikia picha ya ndege, kwenye moto unaowaka
 
Mwenge unafungua miradi wapi? Una mikono? Wizi mtupu.
 
Nimegundua kuwa hakuna umati wa watu kabisa kama zamani, watu washaona huu ni ujinga
 
Back
Top Bottom