Recent content by Shadya

  1. S

    natafuta rim paper kwa bei poa

    Zipo aina ya mondi grade 1 A4 -nauza kwa carton moja t.shs. 38000, nakuletea popote ulipo. Kuanzia carton 5. No. Yangu ni 0713542592
  2. S

    Supermarket Promotion Girl (form 4 leaver) Anahitajika Soon!

    Mkuu mimi nataka nikupm ila sijui nafanyaje labda ni pm wewe kuna mdada namfahamu atakufaa sana na nimwaminifu
  3. S

    nimeikuta kwenye mtandao hii kuhusu Tanzania

    Wandugu, kabla ya kuanza kulaumu kwanza jaribuni kuangalia kwa undani, na muangalie na upande wa pili na maswali haya mjiulize? Inawezekana ni wale........wanaochonganisha nchi au watu, ili muanze kujenga chuki na wanaanza kwa mbali kama walivyowawekea vyama vingi, ili wao waje wajidai...
  4. S

    Nahitaji Supplier as SAW PALMETTO haraka sana

    Inaitwaje kwa kiswahili mzee
  5. S

    Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

    Babu DC! Hivi itokee nini mpaka uamini?....sasa nakupa ya kwangu binafsi kabisa......mimi nimemkuta mume wangu na kondom zaidi ya mara tano kwenye gari, na nimemsamehe. Nimefuma hizo msg wadada wanamsifia kwa ku wa du.......vizuri na wala sijathubutu kumwambia, yaani hanijali hata kidogo, yeye...
  6. S

    hivi wajua NYANYA na VIAZI ni SUMU?(chips)

    Jamani mbavu zangu......uwiiiiiiiiiiii
  7. S

    Paprika: Paprika: Paprika: Paprika

    Ni pilipili
  8. S

    Tengeneza website kwa pesa uliyonayo

    Sasa....watu wengine bwaaaaaaaa....aliposema hujaamini na je ukiona ndio utamini?.......mh....mashaka matupu......best nakutakia kazi njema mafanikio mema katika utakalolifanya maadam unatumia akili, ubunifu na kujituma kwa bidii ni jinsi gani uyakabili haya maisha.... Kwa mwenyekuhitaji na...
  9. S

    Nimempoteza anti yangu muhimbili jioni ya leo!!

    Ubinadamu kaziiiiiiiiiiiiiiiii........hivi mtu mwenye mawzo kama yako imeifanyia nini jamiiiiiii.........
  10. S

    Wenye waume JF..TAHADHARI.

    mdigo mwenzangu.....yaani huyu mwanamke anabahati ile mbaya.....kwanza hajafundwa...... Huyu mwanaume mie ningemchukua kwa udi tu.... Halafu yale ya gombero ya bibi zetu yangefata lazima angeshika aadabu asinge piga kelele tena.
  11. S

    Wenye waume JF..TAHADHARI.

    Lolololo......... Kazi ipo .......he ndoa za kulala na mume masaa 5, nayo ndoa? Kujua kumpangia kbtini 2, .... Masaa mengine yote kwa,...........na mpaka itokee aumwe........lo kazi mnayo wenye ndoa..
  12. S

    Nahitaji msaada wa mawazo ya biashara/ujasiriamali

    Mkeshahoi nisaidie basi nipate mawasiliano ya wanaouza hizo grd A za mitumba nifanye biashara na mimi huwa naitaka ila sijui wapi pa kupata mali safi
  13. S

    YUKO wapi Dr Ulimboka Na mgomo wake...KAPOTEZA AJIRA?

    Wamezidi hao............ Bora maana wanafanya kila sehemu mahali pa siasa bora wa pambane na mapapa wenzao wale kambare wadogo walikuwa wanawaonea tuuuuuu na hasa kupitia chombo chao bandia tbc....... Eti chombo cha habari cha taifa... Hakuna lolote
Back
Top Bottom