Pendekezo la entrepreneurship club kwa jf members kanda ya kaskazini, tanga,arusha,kilam na manyara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo la entrepreneurship club kwa jf members kanda ya kaskazini, tanga,arusha,kilam na manyara

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by CHASHA FARMING, May 27, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Wakuuni ukweli usio pingika kwa mba hali za kiuchumi ni ngumu sana, na vilevileukizingatia kwamba tuko kwenye Dunia ya Utandawazi ambao tunaambiwa Dunia nikijiji, na na Ukijumulisha na Mashirikisho ya East Africa, SADC na kazalika nizahiri tuko katika Bahari ya Ushindani wa hali ya Juu kibiashara wakuu,Nilisikia SADC nao wanakaribia kusaini common market wakuu na zani tunajuaAfrica kusini, Zimbabwe na Angola wako mbali sana, So wakuu ni lazima tujaribukila njia ya kupambana na si kurudi nyuma, hii ni vita na nilazima tupiganempaka Tone la mwisho, tusikubali kusalimu amri kirahisi wakuu, tusibaki kuwamashabiki, ni lazima tuingie tucheze na tushinde,


  Wakuu napendekeza Kuundwa kwa club kwa Wana JFwa Mikoa ya Arusha, Tanga, Kilimanjarona Manyara, Hili ni pendekezo langu wakuuna kama tutakubalina nalo inaweza kuwa sehemu ya sisi kukutana na kubadilishanamawazo, Tusibaki kulalamika tu, Umoja wetu inaweza kuwa siraha tosha ya kuwezakujikwamua
  Ninimaana yah ii club?


  Kwawajasirimali na wale wanaotarajia kuwa wajasirimali tukikutana pamoja tutaundahii club, nah ii club ndo itakayo tengeneza forum ya sisi kuwa tunakutana nakudiscas matatizo sugu yanayo wakumba wajasirimali na kutafuta suluhisho kwahayo matatizo,

  InaundwaVipi?

  Itaundwa kwa sisikukubalina idadi ya kutosha kuunda hii club ya JF kwa Arusha inaweza kuwa namembers 30, 40, 50 na kuendelea.

  Kwanini hii club wakuu?

  Hii itaundamsingi kwa wajasirimali kukutan pamoja na kutatua matatizo yao

  Nanianaweza kuwa Mwanachama?

  Mjasirimali na mtu yeyote anaye pangakuwa majasiriamali, Ila Kwa baadae itawahusu Wajasiriamali pekee

  Naniataiendesha?

  Sisi wenyewewakuu


  Wakuu Club hii itajumuisha Mikoa hii, Ila nivizuri kwa kila mikoa kuunda yao then kwa baadae tutaona jinsi ya kukutana Nchinzima

  · ARUSHA
  · MANYARA
  · KILIMANJARO
  · Tanga  Madhumuniya club hii ya JF KANDA YA KASKAZINI

  · Kuwezesha/kuongeza uzalishaji wenye ushindani
  · Capacity building of Micro and Small Enterprises
  · Kujenga uwezo wa wajasirimali(members)
  · Kutoa misaada ya kibiashara
  · Mafunzo ya kiutawala katika biashara
  · Kuwezesha uzalishaji
  · Kutafuta suluhisho kwa common problems
  · Kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ambao tunaweza ingianao ubia
  Kuwavutiavijana wenye talent ya ubunifu katika biashara
  · Reduce competitiveness
  · Establish technical standards
  Faidaya hii JF ENTREPRENERUSHIP CLUB NOTHERNZONE

  · Mutual learning & Benefit
  · Kujifunza kwa pamoja kama timu
  · Kufikia malengo mengi kwa wakati
  · Kuongeza levo ya ujasiriamali
  · Kupata mawazo mapya na biashara mpya
  · Specific needs with specific solutions
  · Easy access to credit
  · Kuandaa Trade fair yetu wenyewe
  · Consultancy and Training


  NB: Wakuu Haya niMawazo yangu tu na wengine mnaweza kuja na mawazo yenu na tukayaunganishapamoja


  Wakuuku operate kikanda itakuwa nzuri zaidi kwa sababu hii nchi ni kubwa sana, ila wamikoa kama ya Dar nazani watakuwa nayo na kama hawana wanaweza unda yakwao,Kanda ya ziwa yakwao, kanda ya kati yakwao na kanda ya Nyanda za juu kusini yakwao, Theni kupitia hizi kanda ndo tunaweza tukawa tunakutana, tunatembeleanana kufanya kazi pamoja

  NAOMBAKAMA HAINA MSHIKO TUIJADILI NA TUTEMANE NAYO NA KAMA INA MSHIKO TUIFANYIE KAZIKWA MOYO MMOJAHataWakipatikana Kumi wa kuanzia kwa hii mikoa si mbaya wakuu, na mimi nimetoa wazotu anaweza tafutwa mtu wa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa kukusanya maombi yamembers

  By CHASHA/KOMANDOO
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Mkuu Chasha Hili wazo ni zuri sana na ninauhakika una nia njema sana, tatizo langu liko kwetu sisi, Watanzania sisi ni wagumu sana chasha na na kuhakikishia utaishia kupata coment lakini kwenye vitendo usitalajie chochote kile, tuache tuendelee na ujuaji wetu, huku wakenya wakikesha kupanga jinsi ya kuneemeka na Africa mashariki, sisi ni maneno na mipango vila vitendo, kazi njema chasha
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  mkuu SATAN mimi ninacho fanya natoa pendekezo tu, na hii ni baada ya kucheki nchi zingine wanafanya nini, kwa kweli tunatakiwa kuamka, na kuachana na maneno mengi sana bila vitendo, ok asante kwa ushauri wako mzuri mkuu ila sijajua uko mkoa gani, ila hata wakipatikana kumi ni wengi sana na wanatosha sana mkuu wangu, si lazima kila mtu ajoin
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Mkuu chasha ni me ku pm kwa ufafanuzi zaidi
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  yes nimekupata kabisa mimi binafisi nimependa sana hili jambo, nijambo jema sana ingawa watu wengine hawatalielewa humu watu wanataka ulete maada za kuuza magari ndo huwa zinachangamkiwa sana ila maada zenye feature kama hizi hupigwa kando.
  Mkuu pamoja sana na nimeku pm kuwahi nafasi
   
 6. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  wazo zuri sana, embu kweli tulifanyie kazi. Hongera mtoa wazo!
   
 7. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hongera sana kwa wazo zuri kama hili ningekuwa eneo husika ningekuwa wa kwanza kujoin ila usife moyo hata mkianza wawili tu itafaa ila utakuwa unaendelea kutoa matangazo ya siku ya kukutana watu wataendelea kujoin taratibutaratibu mpaka malengo yatafikiwa.

  Wazo zuri fursa nzuri nimeipenda sana huenda hata sie pwani tukafikiria kitu kama hicho ingawa kitakuwa kugumu sana kwani watu wanajiona wako busy sana.
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Ya mkuu Huko Pwani mnaweza ku organize na mkakutana wikendi moja kupanga, Lengo ni kwamba Dar ikiwepo na Mwanza wakawa wanakutana, Mbeya ikawepo, na kanda ya kaskazini mwisho wa siku tunaweza organize event ya Nchi nzima na kupitia hapo tunaweza hata kuorganize maonyesho ya Biashara yakwetu wenyewe na ikawa inapendeza, nchi nyingi wanafanya hivi na wamefanikiwa sana tatizo ni huku kwetu tuna kosa umoja halafu tunaishia kulia na serikari, mkuu freshi sana wewe jipange huko, huku hata wawili wanatosha sana sina unajua mbuyu ulianza kama mchicha,

   
 9. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uko sawa mkuu lazima ifike sehemu tuanze tu hata kwa kuchechemea.Kwa walio dar atakaye support wazo hili ani PM ili tuone tunaanzaje hata aliye Mwanza pia anaweza kuni PM ili tupange jinsi ya kuanza kukutana.
   
 10. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Ya mkuu, ni jambo jema sana ingawa watu wanaweza kabisa wasione umuhimu wake kwa sasa, ila kwa baadae lina umuhimu wa kipekee,

  Ni lazima to move kwa pamoja ili tuweze basi kupambana na vikwazo vingi sana vya kibiashara, hizi club kwa nchi nyingine zina manufaa makubwa sana na hata Kenya wanatumia sana hizi club, tatizo ni kwetu sisi Tanzania, So lazima tuwe siriasi tuache maneno mengi bila vitendo,

  Ok ni vizuri sana mkuu kwa upande wa huku naendelea kupata waungaji mkono si mbaya kabisa na tutaanza hata tukiwa kumi ingawa itavuka hapo, na for further information cshauri@gmail.com

  MKUU KILA LA HERI NA HAKUNA KISICHO WEZEKANA
   
 11. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu wazo lako limenipa matumani mapya na uwezo wa kizalendo na umoja hebu tusonge mbele
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Ya mkuu ni mbele kwa mbele, hakuna kurudi nyuma, Vitani Wanajeshi husonga mbele bila kujalisha huko mbele wanaenda kukutana na nini, unaweza kuwa wanajua kabiasa kuna optional mbili tu, KUUWAWA AU KUWAUA MAADUI, so mkuu ni kusonga mbele kwa sababu katika biashara kuna kuna option mbili tu KUFANIKIWA AU KISHINDWA na kwa sa babu wengi wetu tunafahamu option moja tu ya KUSHINDWA, so mkuu tusha fahamu hii ya KUSHINDWA na sasa ni kudili na hii nyingine ya KUFANIKIWA

   
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Jan 17, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli ni Vigumu sana kwa Wajasirimali wadogo hapa Bongo kufanikiwa, ni ndoto kufanikiwa, na kama tunazani tunaweza fanikiwa indivudualy tunajidanganya, Wakenya unakuta wanaungana hata Kumi na kuingiza Kontena kutoka nje ila sisi ni Porojo kila mtu anataka afanye kama yeye asifiwe,

  Kwa hii Dunia ya Ushindani ni Vigumu sana, Na wachina wanazidi kujaa Mjini, Huku Arusha wamefungua hadi gereji ya Kutengeneza Pikipiki na kuuza spare za Pikipiki, na tusitarajie kwamba wataondoka bali ndo wanazidi kuja tena kwa wingi, na mimi binafisi napenda waje kwa wingi kadri wanavyo weza ili watuamshe na watufundshe jinsi biashara zinavo fanywa

  Na hata Wakena nawaona kwa wingi Arusha unakuta wameungana kama watano na wamefungua Ofisi za Kutengeneza Komputa na kurepea na wengine wanauza vifaa vya mziki, na ukiwachunguza utakuta wako share na humuacha mwenzao Nairobi kwa ajili ya Kununua bidhaa na kuwatumia huku wao wanaendelea na kazi na wamegawana majukumu wengine kutafuta wateja na wengine ndo kama hivyo kuuza,

  Sasa njoo kwa sisi ni maneno juu ya maneno plan juu ya plan wakati wakuja wakizidi kuneemeka, sisi tusubiri serikali itusaidie
   
 14. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2013
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  Jan 17, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
 17. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2013
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  ni mkusanyiko wa vijana graduants(35) ambao ni unemployed katika formal sectors.iko kwenye birth stage inafikiria kutoa services na products mbalimbali ,consultance inclusive.
   
 18. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2013
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  iko kwenye birth stage tumekuwa na first meeting last monday(14th/1/13),next meeting this weekend!
   
 19. m

  mr 906 Member

  #19
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Im in brother
   
 20. S

  Shadya Member

  #20
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Gilo nami nataka kujiunga hiyo youth ya dar?
   
Loading...