Kilo 40 kwa carton,kiwango chochote. Ni pmBandugu, ninahitaj rim paper za A4 kwa ajili ya stationary yangu so kama unazo na kwa bei poa fanya kukoment tufanye biashara
Bandugu, ninahitaj rim paper za A4 kwa ajili ya stationary yangu so kama unazo na kwa bei poa fanya kukoment tufanye biashara
nataka kwanza katoni kama kumi hivi kwanza za fastaUnataka kiasi gani au container ngapi?
nataka kaka, tuelewane bei tuzipo za magumashi..unataka?
nataka kwanza katoni kama kumi hivi kwanza za fasta
zipo aina ya mondi grade 1 a4 -nauza kwa carton moja t.shs. 38000, nakuletea popote ulipo. Kuanzia carton 5. No. Yangu ni 0713542592
nipo sungawanga
red ni sehemu gani maana kama nje ya tanzania hivi?