Tengeneza website kwa pesa uliyonayo

Weka baadhi ya kazi mlizofanya hapa jukwaani ili tuzitembee na kufanya tathmini.
 
Sasa....watu wengine bwaaaaaaaa....aliposema hujaamini na je ukiona ndio utamini?.......mh....mashaka matupu......best nakutakia kazi njema mafanikio mema katika utakalolifanya maadam unatumia akili, ubunifu na kujituma kwa bidii ni jinsi gani uyakabili haya maisha.... Kwa mwenyekuhitaji na anayejua nini maana ya website atakutafuta....ili aweze kuona ni kazi zipi ulizofanya.....usivunjike moyo mwanzo mgumu hakuna alie anza juu hata siku moja .....unaanza na tofali moja ndio mengine yanafata hata yawe trilioni moja na kuendelea.....unaanza na moja
 
Inabidi aweke angalau website moja ili tuithaminishe...
 
nashukuru sana tunajaribu kuboresha maisha yetu uku tukisaidia jamii pia
 
ukweli ni kwamba moja kati ya factor ambazo zinacontribute mostly kwenye bei ya website ni function unazotaka your website ifanye, ndo maana ni vigumu mtu kusema bei directly without knowing what kind of website unahitaji
so unaweza ukatuambia bei yako and we will work out something reasonable or ukatuambia function unazotaka(this depends if una knowledge about websites) and we will tell you amount itakayokucost

Kama una biashara or organization(saccoss) etc na hauna website, then ulikuwa mwanzo, nenda step nyingine kwa kuwa na website sasa kwa bei rahisi

email us webdisgner255@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom