hawa mbwa wanusaji miongoni mwao nao nimafisadi piA WAPO AMBAO HAWAPENDI KUFANYA HAYO LAKINI WANALAZIMIKA KUTOKANA NAMASHINIKIZO KUTOKA KWA VIGOGO FISADI.
naungana namwandishi kuwa HII NI IDARA YA USALAMA WA CCM(CHUKUA CHAKO MAPEMA)
waache usanii wao uchunguzi wote ushatolewa kilichokuwa kimebaki nikukamata nakuweka ndani wahusika wote hii tume mimi binafsi sina imani nayo kwani imeandaliwwa ili kuwalinda hawa vigogo fisadi ndani yanchi yetu.
inatia huzuni sana lakini hii nichangamoto kubwa kwa wazazi wanaowanyanyasa hawa wasichana wandani.
mshahara nihaki yao lazima walipwe watunze wao wenyewe
siungi mkono alichofanya lakini iwe changamoto wanawake wengine huwa niwavivu hata kukaa nawatoto wao hivo kulazimika watoto wao kulelewa...
Kuuliza Si Ujinga Hata Kidogo
Umefanya Vizuri Kumbuka Uoga Si Mbinu Ya Mapambano Japo Wasukuma Wanasema Kaya Ya Ng`hoba Nayo Kaya(nyumba Ya Mwoga Nayo Nyumba)
Ng`wananogu
Kwanza Kabisa Wana Jambo Wenzangu Nianze Kuwapongeza Kwa Maoni Yenu Mazuri Juu Ya Mahakama Hii.japo Wachache Hamfahamu Kilichojificha Ndani Yake.
Kwanza Ngoja Niwadodosee Kidogo Kuhusu Hili Yawezekana Wapo Wanaofahamu Zaidi Yangu,pia Ifahamike Kuwa Sitetei Ukiristo Au Uislamu Bali Nihoja Yangu...
Raila Odinga Yuko Juu Huyu Mwaya Kabaka(kibaki)hana Jipya Zaidi Yautapeli Kama Ule Ambao Huwa Tunafanyiwa Na Chama Cha-ccm Yaani Chukua Chako Mapema.
Mageuzi Yakweli Kenya Yataletwa Na Odm.
By Ng`wananogu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.