Recent content by shaburn

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uelewa na maswala ya kiuchumi ,Njooni mnisaidie maswali Yangu machache!

    #3 uadim wa sukar unaosababishwa na uzalishaji mdogo wa viwanda vya ndani na na marufuku iliyowekwa kwenye kuingiza bidhaa hiyo... ni moja ya sababu ya sukar kuwa bei juu kulinganisha na kipindi cha JK
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uelewa na maswala ya kiuchumi ,Njooni mnisaidie maswali Yangu machache!

    #2 Pesa zikichapishwa kwa wingi thaman yake huwa inashuka na kusababisha mfumuko wa bei ambao unamlazimu mnunuzi kubeba mihela mingi kwa ajili ya kununua bidhaa anzozihitaji.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uelewa na maswala ya kiuchumi ,Njooni mnisaidie maswali Yangu machache!

    #1 kwa uelewa wangu, nadhan ni utaratibu waliojiwekea nchi zinazolisha mafuta kwa wingi kureview bei za uzalishaji kila jumatano ya mwanzo wa mwezi na pia kuangalia mwenendo wa soko la bidhaa husika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni tofauti kabisa na maeneo mengine Tanzania, ni kama ipo nchi nyingine

    Kwenye gharama za maisha na ngono umechemka.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top ten ya Mikoa yenye wanaume wa shoka

    Tanga vip?
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    hizo takwimu umepika aseee
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

    wew jinga kweli, uwez kutuambia sis ushindwe mwanamke uliyemyongoza mwenyew tena ni mchepuko...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Wazazi hawataki mwanamke abadili dini, wananiita 'kafiri'

    muache akaishi na baba wa kambo basi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mdogo mdogo dini zitakosa wafuasi

    ni dini isiokuwa na shaka ndani yake...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    kwann
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    [najaribu]
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    na mm nijifunze
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    kafir ni neno la kiarabu likimaanisha mtu ambae sio muislam, kwa hiyo yeyote ambae sio muislam ni kafir(aliyekufuru au asiyefuata dini iliyosahihi ya uislaam) yan mfano mtu ambaye hajaoa anaitwa bachela...
Back
Top Bottom