Hahaaa hamna bana, mi siko hivo ila tabia zetu nazijuaNawe mito una tamaa eenh kama hiyo mleta uzi
TehHahaaa hamna bana, mi siko hivo ila tabia zetu nazijua
Rubbish....!!!!Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.
Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.
Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?
Karibuni
Alimuahidi kumuoa sasa ataverse VP ahad yakemlango ulioingilia ndo huohuo utaotokea.
umechukua comment yangu.Mnyime hela
Kula bang ukishapta ujasir mwambie mana huna ujasirHuyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.
Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.
Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?
Karibuni
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.