Recent content by shabani ponera

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimueleze ukweli au nikae kimya..

    Zinaa limekuwa jambo la kawaida kabisa hadi kuomba ushauri
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni bora Huyu mama kuwa na dildo au kutafuta k

    Nna mashaka na mtoa mada, kama sio ndo huyo bint basi ni huyo mama, kwahiyo hapa anataka kujua kama yuko sahihi kumiliki naniliu bandia
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama unampenda Mama yako usipite bila kusema "Nakupenda Mama"

    Hii tabia ya ki facebook
  4. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa akutana na mzee wa upako

    Hivi wale waandishi wa habari walishaded?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Walinzi shirikishi wapigwa ‘stop’

    Mkuu umeandika ukiwa juu ya bodaboda ambayo iko kwenye taa za kuongozea vyombo vya moto
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Sumbawanga ujibiwe hapa

    Labda kwakuwa kuna uchawi sana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    Sizani mkuu, 11 anachukua kutoka 10 ila angalia anapochokua 10 mpira umechomekwa juu kwahiyo 10 hawezi kujaa hadi anaempa ajae kwana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madee na IdrisSultan wachambana.

    Ninachojua 300m aliweka fixed acc benk moja hapa town(dar) the rest akawa anaspend
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

    hivi hujaskia gesti na mahoteli yote yamejaa?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    seriously? maanayake ni team lowasa maana mwigu ni team lowasa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    rais wa nigeria ana miaka mingapi? uzee sio ishu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    juliana shonza team gani? hizi za siasa sio mpira
  13. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    kwa ccm hilo halishindikani,
  14. S

    JamiiForums Tanzania Malinzi kumbe jeuri ,, tazama hii tweet

    wewe ndio umeongea cha maana, kauli alizotoa huyu jamal ni kumsema price, prince ni kiongozi wa soka sio kiongozi wa dini
Back
Top Bottom