Nimueleze ukweli au nikae kimya..

Nimueleze ukweli au nikae kimya..

Nachukia sana wanaume type yako......kwanini utake kumchezea msichana wa watu
 
Muache binti wa watu, unatamaa tu Huna lolote watu kama nyie sizipendi tabia zenu huna hata haya umuharibie tu binti wa watu future. Wewe tulia na familia yako sijui Wanaume wengine mkoje. Huoni aibu unaomba ushauri ili utushirikishe uzinifu wako bado ni dhambi na utavuna unachopanda. Muambie ukweli huyo binti na muache na maisha yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetoa yamoyoni aisee.
 
KWANI MKEO HAKURIDHISH? WANAUME WA DAR BHANA.. KUTAKA VIKUBWA WAKATI VIDOGO VINAWASHINDA
 
nyie ndio mnaofanya wanawake watuone wanaume wote duniani matapeli wa mapenzi.
 
Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.

Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.

Naombeni ushauri wenu.
Duh unaishi na mwanamke ndani halafu unawaza upuuzi kama huo duh ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom