Lowassa akutana na mzee wa upako

Lowassa akutana na mzee wa upako

Wewe ndio chizi tena taahira kabisa. Umeweza kuamini MSEMO lakini hutaki kuamini ANDIKO?

Mimi nakwambia kitu kilichoandikwa kwenye Biblia wewe unaleta bangi na konyagi jibapa hapa. Hebu niambie ni kitu gani hicho unachotaka nielewe nje ya Biblia?

Amri ya 6 inasema usizini, wewe ukanywe viroba vyako pale kijiweni kwenu Ubungo uje kutubadilishia mada "Oooh, kama nina nyege je? Nisizini vipi na mimi ni rijali?" Mtu kama wewe nikikuita taahira nitakuwa nimevunja kifungu gani cha katiba?

Biblia imesema MTUMISHI WA MUNGU HAPASWI KUWA MGOMVI, full stop.

Njaa zinakusumbua unatafuta watu wakuwatolea uchovu huna lolote, kwa jinsi unavyo andika nimegundua wewe ni mtu wa aina gani wewe ni hopeless kabisa kwanza huna roho wa Mungu ndani yako na ndio maana una toa lugha za matusi nakushauri usikate tamaa bado unaweza toka kimaisha tafuta kazi fanya
 
Hopeless case!

Unaishi kwa kutumainia miujiza ya mlevi na ndio maana uko bize kutetea ulevi. Wewe ndio hasa utafute kazi ya kufanya. Nakukumbusha tena, Biblia inasema MTUMSIHI WA MUNGU HAPASWI KUWA MGOMVI. Mkishakunywa JIBAPA msiwe watata watata.
 
Hivi Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe, sliishi maisha ya kawaida. Unakuta mtu ana gari ya bei mbaya na Aleluuuya kwa wingi, je ni mfuasi wa Yesu?? Yesu alishasema kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Natamani nani kupata upako ili nipete hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom