Malinzi kumbe jeuri ,, tazama hii tweet

Malinzi kumbe jeuri ,, tazama hii tweet

sijaona jeuri hapo. tunapenda kupika maneno na kuingiza chuki tu. TUBADILIKE. kwani uhuru wa kuongea umefutwa hapa bongo! ndo mana tumekuwa waoga sana. shit!!!
 
Hakupaswa kusema hayo, hakupaswa kuingiza udini ... Kwa nafasi yake !!
 
sijaona jeuri hapo. tunapenda kupika maneno na kuingiza chuki tu. TUBADILIKE. kwani uhuru wa kuongea umefutwa hapa bongo! ndo mana tumekuwa waoga sana. shit!!!

.......... you don't read between the lines ! wagaba
Unaweza kwenda mbali zaidi hayo maneno ni sawa na matusi !

Ni nani alimwambia wagombea ni Paroko na Imam !? ...... Imam na Paroko ni watu wa hovyo !??
 
Malinzi kipimo chake ni kiwango cha National Teams na P L Teams ktk mashindano ya Africa.
But since yupo ktk office za TFF, nn tunachokiona ktk matokeo ya Teams zetu...???
Zero results!
 
Back
Top Bottom