Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

Wana Jf,
Wakati tukijiandaa kuhudhuria kilele cha kumuapisha rasmi Lowasa kuwa rais wa Tanzania hapo kesho hapa jijini Arusha,,kila nikipita huku mitaa ya Arusha sioni dalili yoyote ya kuwepo Chadema hapa mjini,,Makamanda wa Chadema mko wapi? Mbona mmeukimbia mji? Wazawa wenye Jiji lao tunatamba tu hapa Mjini,Lema na genge lake la Chadema wamejificha...We Lema si unasema CCM haipo Arusha mbona umejificha? Njoo kesho uwanjani Sheikh Amri Abeid uone wenye jiji lao la Arusha tunavyotamba hapa mjini,, Chadema wote wameukimbia mji,,
hivi hujaskia gesti na mahoteli yote yamejaa?
 
Back
Top Bottom