ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,998
- 2,242
- Thread starter
- #61
haina ukweli wowoteNasikia radi inauzwa Sokoni kwa mafungu ie: ya kuua watu 2, 3,5 hata 20 je ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
haina ukweli wowoteNasikia radi inauzwa Sokoni kwa mafungu ie: ya kuua watu 2, 3,5 hata 20 je ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chindanda ni chakula tu haina uhusiano wowote na uchawi, huchimbwa porini kama viazi pori na watalaam hukitengeneza, kitamu sanaChikanda ina uhusiano na uchawi? Pale Namanyele kuna kijiji kinaitwa Msunkumilo na kina wachawi watupu, je neno Msunkumilo lina maana gani?
Kwahiyo dini za jadi (African Traditional Religion) ni ushirikina?Ni imani tu inayoambatana na uchawi
Hakuna kitu kama hicho.ushirikina ni imani and part of african traditional religion
Niko busy nitarudi kuelezea zaidi.so unaelewa nini kuhusu african traditional religion?
Labda kwakuwa kuna uchawi sanaNi kwa namna gani ukatoliki umezama sana kwa wanasumbawanga kwa kiasi kikubwa sana?
ofisi gani na eneo gani?Wafipa wanafiki na wanaukabila sana , Mimi nafanya kazi sumbawanga hapafai maofisini pamejaa unafiki na ukabila mtaani ndo usiseme...ndo maana hamuendelei.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mkwara tu wengine wanawaibia wateja wao kwa kusema ni waganga wa kienyeji kutoka sumbawanga kumbe uongoUkimkosea mtu anakujibu atakuendea Sumbawanga hivi kuna nini? Nijibu hata kwa ufupi
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mkwara tu wengine wanawaibia wateja wao kwa kusema ni waganga wa kienyeji kutoka sumbawanga kumbe uongoUkimkosea mtu anakujibu atakuendea Sumbawanga hivi kuna nini? Nijibu hata kwa ufupi
Sent using Jamii Forums mobile app
asanteMkuu nakupongeza kwa kujibu maswali kistaarabu ingawa kuna maswali ya kuprovoke kidogo.
Mi napenda kujua kama wenyeji huwa wanawaulia wageni mashamba.
Pia nasikia madini ya aina mbalimbali hupatikana huko. Kama ni kweli ni sehemu gani ya Sumbawanga?
Sent using Jamii Forums mobile app