Haya Mambo hayashauriki ,ila kama huna kamchepuko basi tafuta mchepuko anaejali uendee na life ,ila usimuamin kivile we uwe unaipiga na kujiliwaza tuu.. Mke kashapata hofu kama anayo akili ila katika akili yako mtoe kabisa lakin Usimuache. Kuna kipind huko uzeen utahitaj msaada zaid kutoka kwa...
tufikilie kusajiri waarabu katika timu zetu,endapo tukipata fursa za uwekezaji katika club zetu.
Wanatusumbua sana.
Kwenye swali mpaka sasa naona timu zote zimefuzu kutolewa
Ipo siku mtatoka kwenye huo wadhifa na kujiung katika chain y walalamikaj,jitahidin kurekebsha matatizo yanayowasibu watu/raia wengi kuliko wale wachache mnaopishana maofisini nakujiona kwenu hamna tatizo basi na kwa wenzenu pia kusiwe na tatizo..
KAMA SIO WEWE BASI JUA KUNA MTU ANAEKUHUSU...
nyongo kwa tabaka flani mara nying linaangamiza wale wanaoitunza mioyon mwao,zimetajwa nchi zenye wauslamu na waafrica no kwenda USA,lakini weww umekazania waislamu .kumbuka mla nyama ya mtu haachi
Ukifatilia vizuri unaweza kukuta wamilik wanaowarushia hzo chanel pia walishabadilshiwa tozo za kodi,waweza kukuta nawao pia wapo njia panda kwa mikataba ya mwanzo walioingia na mambo ya sasa
jaribu kuangalia network selection,test kuweka network moja moja ,mfano kama ulichagua auto basi chagua either single 2G au single 3G ,then jaribu kama moja wapo ndo itakayokubali bila shida basi ujue issue ni ya network katka sehemu husika,na wala si simcard au simu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.