Bima ya afya (NHIF) kwa hili sio sahihi mnatuibia

Ipo siku mtatoka kwenye huo wadhifa na kujiung katika chain y walalamikaj,jitahidin kurekebsha matatizo yanayowasibu watu/raia wengi kuliko wale wachache mnaopishana maofisini nakujiona kwenu hamna tatizo basi na kwa wenzenu pia kusiwe na tatizo..
KAMA SIO WEWE BASI JUA KUNA MTU ANAEKUHUSU KATIKA CHAIN YAKO ATAKUJA KUTESEKA KWA UNACHOKIFANYA LEO,.vizazi bado vinaendelea.,
 
Maisha Haya Mungu pekee ndo anajua
Kumbe hii habari ya baadhi ya kadi za NHIF kukataliwa ni kweli?! Jana nilimsikia mtu mmoja akilalamika kwamba alienda hospitali akiwa na kadi ya bima ya NHIF aliyokatiwa na mke wake wa ndoa ambaye bado ni mwajiriwa lakini kwenye system ilisomeka "rejected". Sasa hiyo kiutaratibu ni sahihi kweli?
Angalizo!!!!!! Hivi mmekwisha wahi kuona matumizi ya watumishi wa NHIF wakiwa ofisini??? kwa uchache, hawa watu wananunuliwa maji ya kunywa na wanapeleka majumbani kwao, hawa watu matumizi ya anasa ofisini ni usipime, maziwa ya kopo kila mtumishi kupeleka nyumbani, yaani gharama zooote hizo wanatoa katika michngo yetu alafu huduma wanatupa kiduuuchu. Vinatia uchungu hebu chunguzeni wenyewe ktk haya maofisi mtayaona haya
Hawa NHIF si wako chini ya serikali Hawa!.
Hivi ujawai kujiuliza swali hili?" Ni huduma IPI ya kijamii itolewayo na serikali iliyo bora" ..jibu ni hakuna ..
Haya hawa NHIF nami walinifanyia hivyo hivyo mpaka Leo...juzi juzi kuna hospitali nilienda nikamkuta daktari kwa Bahati nzuri nilikuwa namfahamu akaniambia nisilipie atafanya maarifa na ntapata huduma free kupitia iyo iyo NHIF..kifupi kuna mbinu mpya wanawapiga vizuri sana NHIF..nilifurahi sana na jamaa akaniweka wazi kuwa ndio grisi iyo wanayoitumia..hakuna sababu ya kueleza wanapigwaje watashtuka acha wapigwe tu
jamani kweli awamu hii sitokaa nisahau/, kila sehemu pamekuwa pagumu, kila mahali panataka hela, sasa nauliza tena kama alivouliza mdau hapo juu vip kuhusu mayatima ambao hawana wazazi wao hawatokaa watibiwe na Bima sio,

kwa sasa sasa sijaona faida ya serikali hii hata kidogo
 
Ipo siku mtatoka kwenye huo wadhifa na kujiung katika chain y walalamikaj,jitahidin kurekebsha matatizo yanayowasibu watu/raia wengi kuliko wale wachache mnaopishana maofisini nakujiona kwenu hamna tatizo basi na kwa wenzenu pia kusiwe na tatizo..
KAMA SIO WEWE BASI JUA KUNA MTU ANAEKUHUSU KATIKA CHAIN YAKO ATAKUJA KUTESEKA KWA UNACHOKIFANYA LEO,.vizazi bado vinaendelea.,
kweli kabisa, wamesahau maisha ni mzunguko
 
Mfuko wa afya wa bima ya afya wameleta mabadiliko ambayo wengi hatukutarajia, sijajua shida ni uchumi kuwa mbaya au sababu ni nini haswa.

leo nimetoka hospitali kutibiwa nikatoa kadi yangu mapokezi kama kawaida wakati nasubiri kuitwa kama ilivyo ada,nikaitwa nikaambiwa kadi yako ya bima imekataliwa nikauliza sababu sikupewa nikatoka hapo chapu nikaenda hospitali nyingine kubwa tu wanayotumia bima, basi nikatoa kadi kama kawaida wakati nasubiri kuitwa muda ukafika nikaitwa nikaambiwa kuwa kadi yangu ya bima imekuwa rejected nikauliza kivip nikaambiwa niende hapo zilipo ofisi za bima vile sio mbali nikaulize sababu.

dakika saba tayari nipo ofisi za Bima nikauliza mbona imekuwa hivi hospitali nilikotoka wakaniuliza Bima yangu nani alikata nikamtajia ni mlezi wangu, wakasema utaratibu umebadilika siku hizi anaetakiwa kukukatia ni mzazi pekee, nikamwambia mlezi mwenyewe alikuwa hana mtoto hata mmoja na mimi ndie niliekuwa kama mtoto wake wakanijibu hiyo haijalishi.

la pili wanadai pale mtu anapostaafu basi wale wategemezi wake hawana chao tena ,yani ukomo wa matumizi ya bima ndo unafikia hapo.

sasa nauliza huu utaratibu wa aina hii unalenga kumnufaisha nani?
yani kila sehemu pamebanwa hamna hata pa kukimbilia kwa sasa.

alichosema mzee watu wataishi kama masheatani nimeamini.
Utaratibu huu umeanza b4 magu husimbebeshe mizigo hisiyokuwa yake.. Pole aise
 
mimi kuwa tegemezi
Wategemezi wanaokubalika kwa sasa ni wazazi (baba mzazi na mama mzazi), mwenza (mke au mume uwe na Cheti cha ndoa ) na watoto wa kuwazaa mwenyewe (uwe na vyeti vyao vya kuzaliwa)

Mtoto wa shangazi, mjomba, bibi, babu na ndugu Wengine kwa sasa hawatambuliki,

Kwa wale wagumba wasiokuwa na watoto kwa kweli hawajatendewa haki
 
Mfuko wa afya wa bima ya afya wameleta mabadiliko ambayo wengi hatukutarajia, sijajua shida ni uchumi kuwa mbaya au sababu ni nini haswa.

leo nimetoka hospitali kutibiwa nikatoa kadi yangu mapokezi kama kawaida wakati nasubiri kuitwa kama ilivyo ada,nikaitwa nikaambiwa kadi yako ya bima imekataliwa nikauliza sababu sikupewa nikatoka hapo chapu nikaenda hospitali nyingine kubwa tu wanayotumia bima, basi nikatoa kadi kama kawaida wakati nasubiri kuitwa muda ukafika nikaitwa nikaambiwa kuwa kadi yangu ya bima imekuwa rejected nikauliza kivip nikaambiwa niende hapo zilipo ofisi za bima vile sio mbali nikaulize sababu.

dakika saba tayari nipo ofisi za Bima nikauliza mbona imekuwa hivi hospitali nilikotoka wakaniuliza Bima yangu nani alikata nikamtajia ni mlezi wangu, wakasema utaratibu umebadilika siku hizi anaetakiwa kukukatia ni mzazi pekee, nikamwambia mlezi mwenyewe alikuwa hana mtoto hata mmoja na mimi ndie niliekuwa kama mtoto wake wakanijibu hiyo haijalishi.

la pili wanadai pale mtu anapostaafu basi wale wategemezi wake hawana chao tena ,yani ukomo wa matumizi ya bima ndo unafikia hapo.

sasa nauliza huu utaratibu wa aina hii unalenga kumnufaisha nani?
yani kila sehemu pamebanwa hamna hata pa kukimbilia kwa sasa.

alichosema mzee watu wataishi kama masheatani nimeamini.
Huu utaratibu una muda mrefu.Nilishindwa ndugu zangu.Wanabama matumizi
 
mimi kuwa tegemezi
Kwa maana hiyo BIMA yako imekataliwa kwa kuwa ww ni tegemezi usiyestahili.

Ila wako wengi ambao walisajili tegemezi ambao baadaye wameonekana hawastahili lkn wanaendelea kupata Huduma ila haiwezekani kusajili wapya wasiostahili sababu ya mabadiliko yao.

Kwa wastaafu bima zote za wategemezi zinakufa bata linabaki kwao tu.
 
Dogo acha kulalamika sana,

Kwa sheria za NHIF
Dependant ni watoto wako wa kuzaa,

Hizi sheria hufanyiwa mabadiliko kunapokuwa na ulazima,

NHIF wameweka utaratibu mzuri kuwa
Wastáafu,

mzee akistáafu atapewa bima yake special ya kustáafu yeye na mke wake !

Nitajie bima gani ingine inatoa kadi za matibabu kwa watumishi wao walio stáafu kazi
AAR
Jubilee
Strategis
Momentum
Etc
Hakuna bima zaidi ya nhif inayotoa fao hilo.
Ukiasili mtoto pia inaruhusiwa kuwepo kwenye mpango.

Kimsingi Nhif nadhani ndiyo bima pekee inayokupa room ya watu sita wategemezi.
 
Mfuko wa afya wa bima ya afya wameleta mabadiliko ambayo wengi hatukutarajia, sijajua shida ni uchumi kuwa mbaya au sababu ni nini haswa.

leo nimetoka hospitali kutibiwa nikatoa kadi yangu mapokezi kama kawaida wakati nasubiri kuitwa kama ilivyo ada,nikaitwa nikaambiwa kadi yako ya bima imekataliwa nikauliza sababu sikupewa nikatoka hapo chapu nikaenda hospitali nyingine kubwa tu wanayotumia bima, basi nikatoa kadi kama kawaida wakati nasubiri kuitwa muda ukafika nikaitwa nikaambiwa kuwa kadi yangu ya bima imekuwa rejected nikauliza kivip nikaambiwa niende hapo zilipo ofisi za bima vile sio mbali nikaulize sababu.

dakika saba tayari nipo ofisi za Bima nikauliza mbona imekuwa hivi hospitali nilikotoka wakaniuliza Bima yangu nani alikata nikamtajia ni mlezi wangu, wakasema utaratibu umebadilika siku hizi anaetakiwa kukukatia ni mzazi pekee, nikamwambia mlezi mwenyewe alikuwa hana mtoto hata mmoja na mimi ndie niliekuwa kama mtoto wake wakanijibu hiyo haijalishi.

la pili wanadai pale mtu anapostaafu basi wale wategemezi wake hawana chao tena ,yani ukomo wa matumizi ya bima ndo unafikia hapo.

sasa nauliza huu utaratibu wa aina hii unalenga kumnufaisha nani?
yani kila sehemu pamebanwa hamna hata pa kukimbilia kwa sasa.

alichosema mzee watu wataishi kama masheatani nimeamini.
BIG UP MAGUFULI...HAPA KAZI TUU, nimefurahi sana kuona swala la bima limefikia pazuri....poleni kwa wote mlio katiwa sio kama nafurahia ila bima ilikuwa inaibiwa saaana imetajirisha wahindi sana na wengi waliokaa kwenye kitengo hicho...nashukuru Mr magufuli kuliona hili tatizo kwa sababu hakuna mgonjwa yeyote aliye kuwa anajuq bill yake ni bei gani, na nina amini sasa section hiyo itakuwa straight sio magumashi.kwa kweli kwa hili nampongeza sana magufuli. Mungu akupe maisha marefu.
 
Japo nyeti kama hilo lilitakiwa kiwa rapported kabla hujaumwa, sasa mfano ungekuwa ndio uoo hoi huwezi hata kukimbia kama ulivyo kimbia hapo bima?
 
Back
Top Bottom