Ujana baana kazi kweli kweli. Ushahitimu elimu yako na umejaaliwa una kaajira kako kwahiyo umepata kajichumba kako umepanga una kitanda na godoro lako la 6*6, bas kila ukilala unagalagala godoroni unajihisi upweke wa hali ya juu unawaza sana juu ya daah ningekuwa na fulani hapa saa hizi ningekuwa natiana nae tu mwanzo mwosho.
Inatokea tu kwa bahati nzuri sijui mbaya inajitokeza kumma mdebwedo yaani ile loose ball bas kila akija jioni mnalala mnato.mbana weee hadi asubuhi kisha yanakuwa mazoea ,unaambiwa kila ukitoka zako tu job unawahi magetoni ile nimori hatari! Hakuna wakati mgumu wa kufanya maamuzi kama huo kwa mvulana- wakati huo muda nao hausubiri nakwambia unalala mbele ni kishenzi Yaani. Sasa ajitokeze mtu akushauri bwana wewe yule mwana'n'ke achana nae, weeeeee unaweza ukameza mtu mzima mzima.
Ni ujana tu huo ule mbichi mbichi bado unasumbua ,miaka ikisonga mbele unajifunza mengi inakuwa rahisi sana kufanya maamuzi sahihi hasa kwa jambo kama hilo