Sio Bongo tu kiongozi, Bali dunia nzima madalali wapo ila wenzetu wamepewa majina ya kizungu yaan Broker, Agents. wote hawa wanapiga pesa bila mtaji zaid ya kulijua soko linataka nin. Fikiria Mendez anavyowauza wachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampani nzuri ni ile ya kutoana na si ile kwa upande mmoja tu. Unakuta dem ana kazi ila hata siku moja hajawai kufanya kama kakosea akuunge hata kifurushi cha jero, nguvu ya kumpa tu kila siku itatoka wap?
Wasalam wandugu!
Ningependa kujua kama inawezekana kutatua hili. Simi yangu ni huawei cun l21 hizi za voda kila nikijaribu kubadilisha line namba 1 niweke airtel badala ya voda ambayo naweka line 2, simu inataka niweke unlock pin
. Nataka kujua kama inawezekana kupata hizo unlock pin
Wasalaam Wandugu, Ningependa Kupata Msaada Wa Kisheria Kwenye Kesi Yangu Ambayo Hukumu Ilisomwa Tarehe 12 Mwezi Wa Tatu Na Kuonyesha Mi Ndo Mshindi Dhid Ya Jiran Yangu Aliyejenga Kwenye Eneo Langu. Cha Kushangaza Siku Ya Kuchukua Hukumu Ikiwa Kwenye Makaratasi Naonekana Mi Ndo Nimeshindwa Na...
Uchaguzi umeisha shemeji! Uhuru kenyata wa kenya alivaa mwaka jana kwenye mahafali ya jeshi,Putin wa urusi naye pia anavaa. Yeye ndo Amiri jeshi mkuu.kutovaa ni maamuzi tu ila akiwa anaingia jeshin ni maamuzi yake kuvaa au kutovaa
Yapo yanayopangwa ila cyo yale ya Arsenal,kumbuka hata baba yake ROONEY alikuwa na kesi ya kupanga matokeo, hao wanapangaga kwenye kadi nyekundu kuwepo maana ile kitu unakuta odds ni 4 kwahyo ukiweka mkwanja mnene lazima upige
Hao hao wenye akili ndo wametufikisha hapa tulipo. Ni bora kuanza kuchukua mashabiki tu. Kama wakina Kitilya wanaongeza riba ili waiibie
serikali,ni heri kuchukua mashabiki maana wenye AKILI ni WEZI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.