Recent content by Seq

  1. S

    majambazi wapora mamilioni na madini katikati ya jiji arusha

    Ka hii sasa noma aisee naanza kuogopa
  2. S

    CPA(T) v/s MASTERS

    nashauri apige masters kwanza ndio afikirie CPA japo inategemea pia na position yako hapo ulipo inahitaji nini sana
  3. S

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    chenge si alisem vyake ni vijisent umesahau nini? sasa unatakiwa uelewe vijisent na pesa.
  4. S

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    aaag..... yaani zito ni jembe kwa ujumla . na pia ana mapungufu kama binadam mwingine. ki msingi kwa walioingia cdm juzii ndio wenye walakini
  5. S

    Watanzania mnafaham vizuri mfumo wa digital na athari zake?

    si kila chaneli itakua inalipiwa.
  6. S

    ugonjwa wa kichaa cha mbwa nisaidieni

    jamani pia naomba msaada kujua kama ugojwa huo unaweza kuambukiza kutoka mtu mmoja hadi mwinine? maana nimekua nikihudumia mtu alieugua kichaa cha cha mbwa na hatimae akafariki?
  7. S

    Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

    Tatizo hapa sasa unazidi kuongeza chuki, narudia kwamba tatizo sio uislam ni masuala yanayo enda kinyume na maadili ya kitaifa. jua wapo waislam wengi tu ambao hawaafiki na hali hiya inayo endelea sasa namna unavyo changia si katika upeo wa busara za kusaidia taifa bali unaongeza kero, haya...
  8. S

    Tutashuhudia kutangazwa kwa hali ya hatari?

    Lakini bwana watu wanovyochangia hoja hawaonekani kusaidia taifa bali wanazidi kutangaza udini na kuonyesha chuki zao dhahiri. Watu wasiongelee uislam na ukristo bali waongelee maswala yanayo fanywa kinyume cha maadili kuongelea dini fulani ni mapema sana tutajuta maisha yetu yote
  9. S

    PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

    kulia kwa lissu ni mawazo yaliomjia nghafla juu ya mustakabali mzima wa jinsi nchi inavyo endeshwa kibabe na viongozi wa juu,halafu akafikiria na kuamini jinsi haki haitendeke kwa walio wengi alizani na kwenye kesi yake hivyo hivyo badala yake hakuamini kilichotokea ikabidi alie kwa kusononeka...
  10. S

    Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    hii inaonyesha ukosafu wa umakini daa mpaka siamin.
  11. S

    Kikwete ni Masiha

    mi nimekuelewa ila watu sasa hivi naona kama wanataka kupnda tu mbona hii thread imekaa vizuri, sema watu wanakurupuka, maana mawazo yako ni kuhusu mustakabali mzima wa sasa na baadae yaani kuonekana kikwete hayuko makini huenda ndio faida kubwa sana kwa ukombozi wa tazania baadae.
  12. S

    Mbio za kumrithi Lema zimeanza Arusha wanachama wa Chadema wajitokeza kwa wingi

    Cdm,wawe makini ktk kuteua mgombea,maana kama watazingatia hoja ya wapiga kura ya kuwa yyte akiwekwa atapigiwa kura,ni jambo la hatari sana,watafute mtu atakayeleta maendeleo na kubadilisha sura ya jiji la arusha,wajihadhali na hawa vijana wanajiita wanaharakati(wanasheria waliotoka chuoni ni...
  13. S

    Kamati ya Katiba: Prof. Baregu kuapa bila Biblia wa Quaran nini tafsiri yake?

    Mi nadhani yuko sawa,dini ni uongo,ufisadi,na utapeli
Back
Top Bottom