Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Wanabodi.
Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.
Taarifa hizo zimewataja walianza mkakati wa kuwania kuteuliwa na Chadema ni Mkurugenzi wa kampuni ya Horizon Group, Brighton Mushi, Calist Lazaro, diwani wa kata ya Levolosi Afatha Nanyaro, diwani wa kata ya Mabogini wiliyani Moshi vijijini, Albert Msando, Victor Njau, Dereck Magoma.
Kinachosubiliwa ni rufaa ya Lema, kila mmoja amekuwa akiungwa mkono na kundi lake katika mbio za kumrithi Lema wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.
Taarifa hizo zimetaja mbunge wa jimbo la Moshi mjini Phillemon Ndensamburo kumpigia debe Msando ndani na nje ya chama hicho kwa lengo la kumjenga wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.
Salma JK Vs Jiwe lenye rangi ya CDM,Ni Ushindi Wa Kishindo Kwa Jiwe.