Recent content by Sendekera

  1. Sendekera

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI WA KUSHAMBA

    Mtu anawekeza pesa yake kwenye biashara anayoiona inafaa kumlipa faida.Sasa Chakushangaza anabeba jamaa zake kutoka kijijini eti waje kusimamia biashara zake wakati hata lugha ya biashara hawajui .Huu ni uwekezaji wa kishamba kabisa
  2. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji awapa makavu CCM

    Sialisema akaunti yake ya INSTA Imeingliwa au? Ukiwa muongo ukumbuke na tarehe
  3. Sendekera

    JamiiForums Tanzania ITV tunaomba kipindi cha kipimajoto kiahirishwe leo

    HEBU TIWEKEEE NAMBA YA KAFULILA HAPA
  4. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa CAG hakistahili kurudiwa tena

    HAWA WAPINZANI SIWANGEHOJI SERIKALI PESA ZIKO WAPO?
  5. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Zitto: CAG hajasema pesa zimeibwa bali zimetumika (kuliwa) hazionekani zimetumikaje, zimekwenda wapi ila zimetumika

    Hii clip inanikumbusha ile ya pesa za Uma mwingine si zauma..Tena kuna za uma na zingine sio Baadaye Rumpango
  6. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Baada ya waraka sasa viongozi wa dini waombe nchi za nje wachukue hatua

    Kuna taflani kubwa hapa bongo
  7. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Nisiku ambayo anga liligeuka ghafla na kuwa jekundu. Mingurumo ilitamaraki kila eneo. Siku ambayo mzee Mashati wa Gongo Lamboto alikimbia mpaka Mbezi ya Kimara. Siku ambayo watu waliwatelekeza watoto wao na kubeba mbwa nakukimbia. Naam siku hatari sana ya milipuko ya mabomu ya Gongo la...
  8. Sendekera

    JamiiForums Tanzania IFAHAMU PASAKA

  9. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha wapi pa kujirusha?

    Duh
  10. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha wapi pa kujirusha?

    Maana sio kwa jimvua hili; Nisaidieni
  11. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hussein Bashe afanya mkutano na waandishi wa habari, ahoji Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini

    Huyu naye nahoja yake Sasa mbona anajitetea kabla ya hoja?
  12. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Bashe: Ni kweli nilisema CCM wawapige CHADEMA, sababu ni hii...

    Rangi zanguo ya ndani ya bashe sasa ziko mubashara
  13. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Kagame hajafutia usajili wa makanisa hayo kwasababu tu ya kutekeleza sheria

    Kwataarifa za ndani ya makanisa yaliyofutwa nikwamba yulemama hasimu wake alikuwa akisalimojawapo ya makanisa yaliyofutwa . Niwazi P. kagame hajafutia usajili wa makanisa hayo kwasababu tu ya kutekeleza sheria ya ya usajili bali kuna kitu anakitafta hasa hasa akidhani anakomoa upinzani wake...
  14. Sendekera

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    Kuna msemo unasema(sijui kama ni wakidini) usiyotaka yetendeke Nawe husiyatende. Sijui kama unauelewa wa Siasa.. Mkuu hizo ndizo Siasa. SIASA HUWA ZINABADIRIKA KUTOKANA NA HALI YA KiSIASA. Penye uhuru wa Kisiasa vitu kama hivyo hutaviona. UHURU UKIBANWA ZINAANZA SIASA ZA AJABU AJABU. Wanasaiasa...
  15. Sendekera

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha thamani kuliko vyote kwako?

    JESUS CHRIST AND POWER OF GOD
Back
Top Bottom