ITV tunaomba kipindi cha kipimajoto kiahirishwe leo

StingRay

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
503
628
Haileti maana ya kipindi cha leo kufanyika, tunaomba sana Kafulila hawezi kuzungumza peke yake kwa mantiki moja tu hatutawaelewa mkija kutuambia tahadhari ya kwamba mdahalo huu sio msimamo wa ITV......
 
Mbona nyinyi hamna uvumilivu wa hoja kinzani? Vumilieni msikie na upande mwingine. By the way huyu mkiti WA pac naona hatoshi kabisa, ni cdm eeh!!
 
Currently ITV=UHURU=TBC. Nime-switch zangu EWTN, angalau kuna utulivu.
Kama ITV sio biased, wangemwalika Zitto, CAG, ...
Naona hata wanaohojiwa ni walewale.
 
Yaani mie nina muda mrefu sana kama miaka 2 sijawahi itazama ITV, siku hizi naangalia Azam TV tu angalau huku kuna unafuu wa habari.
 
Haileti maana ya kipindi cha leo kufanyika, tunaomba sana Kafulila hawezi kuzungumza peke yake kwa mantiki moja tu hatutawaelewa mkija kutuambia tahadhari ya kwamba mdahalo huu sio msimamo wa ITV......
Kwa nini usianzishe Tv yako ukawa unawapangia watu wa kuongea na nini cha kusema?
 
Mbona nyinyi hamna uvumilivu wa hoja kinzani? Vumilieni msikie na upande mwingine. By the way huyu mkiti WA pac naona hatoshi kabisa, ni cdm eeh!!
Uhasibu una Dr na cr. Zaidi ya hapo tunadanganyana. Na uki Dr weka document ulicredit weka document. Siasa ni pale unaposema document ziliungua au unauliza swali kwa sababu hunipendi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom