Shy-Rose Bhanji awapa makavu CCM

Shy-Rose Bhanji awapa makavu CCM

Sialisema akaunti yake ya INSTA
Imeingliwa au?
Ukiwa muongo ukumbuke na tarehe
 
Ila shyrose alipiga kampein sana enzi za uchaguzi mkuu,
na alikuwa anafanya Singleton,

mara utamuona yuko kibara,
hujakaa sawa yuko kwenye mtumbwi anaelekea majita,mara yuko na vijana anawapiga shule etc.

Kweli tenda wema uende zako....
 
Shy-Rose Bhanji

Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya WanaCCM kwamba kila ninapotoa maoni yangu ya kukikosoa chama changu au serikali wamekuwa wananishambulia kuwa ni sababu ya kukosa ubunge wa Afrika Mashariki. Sina chuki ya kukosa ubunge na hii naisema kutoka moyoni. Siku zote nimekuwa mkweli kwamba pale panapotakiwa kukosoa sijasita kufanya hivo na pale panapotakiwa kupongeza sijasita kufanya hivo. Kwa vile ninanyanyaswa sana ni vizuri nilitolee ufafanuzi: Huo ubunge siyo kwamba nilikosa lakini ni kutokana na majungu, fitna na roho mbaya ya baadhi ya watu....vita niliyopigwa ni kubwa sana na Mungu tu ndo anajua. Ni kweli kwamba niliumia sana sana kwasababu sikujua nimemkosea nini Rais Magufuli mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote. Isitoshe kazi yangu ya ubunge niliifanya kwa kujituma na kwa moyo wangu wote. Ulikuwa huniambii kitu pale lilipotajwa jina lake...nilifunga safari mpaka mikoani kumfanyia kampeni kwa pesa zangu mfukoni siyo kwamba anipe cheo, hapana ni kwasababu nilimwamini. Na Naomba niwaulize hivi JK angemkata jina Magufuli baada ya kushinda kura za maoni ndani ya chama angejiskiaje? Hakika angeumia lakini nina imani angemsamehe kama vile mimi nilivomsamehe. Hizi ni nafasi leo zipo na kesho hazipo. Ni sawa na kuja duniani na kesho tunaondoka. Naomba sana sana msininyanyase kwasababu mnaniumiza moyo wangu
Anatakiwa ajiongeze na afanye mambo mengine kwenye maisha yake! She need to move on! Kwani yeye alikuwa na uhakika atakuwa mbunge kwa maisha yake yote? Hili ndiyo tatizo la wanasiasa wa Afrika ambao wakishapigwa chini wanabaki kulialia. Afanye kazi ingine ili aishi tatizo nini?
 
OK
 
Shy-Rose Bhanji

Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya WanaCCM kwamba kila ninapotoa maoni yangu ya kukikosoa chama changu au serikali wamekuwa wananishambulia kuwa ni sababu ya kukosa ubunge wa Afrika Mashariki. Sina chuki ya kukosa ubunge na hii naisema kutoka moyoni. Siku zote nimekuwa mkweli kwamba pale panapotakiwa kukosoa sijasita kufanya hivo na pale panapotakiwa kupongeza sijasita kufanya hivo.

Kwa vile ninanyanyaswa sana ni vizuri nilitolee ufafanuzi: Huo ubunge siyo kwamba nilikosa lakini ni kutokana na majungu, fitna na roho mbaya ya baadhi ya watu....vita niliyopigwa ni kubwa sana na Mungu tu ndo anajua. Ni kweli kwamba niliumia sana sana kwasababu sikujua nimemkosea nini Rais Magufuli mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote. Isitoshe kazi yangu ya ubunge niliifanya kwa kujituma na kwa moyo wangu wote. Ulikuwa huniambii kitu pale lilipotajwa jina lake...nilifunga safari mpaka mikoani kumfanyia kampeni kwa pesa zangu mfukoni siyo kwamba anipe cheo, hapana ni kwasababu nilimwamini.

Na Naomba niwaulize hivi JK angemkata jina Magufuli baada ya kushinda kura za maoni ndani ya chama angejiskiaje? Hakika angeumia lakini nina imani angemsamehe kama vile mimi nilivomsamehe. Hizi ni nafasi leo zipo na kesho hazipo. Ni sawa na kuja duniani na kesho tunaondoka. Naomba sana sana msininyanyase kwasababu mnaniumiza moyo wangu
Mama wacha kutoa povu ili maisha yaendelee maana kila unapokuwa offensive unafanya watu waamini kuwa una donge la kuondolewa kuwa mbunge.
Hebu muangalie mzee Ali Hassan Mwinyi. Alijiuzulu kutokana na kashfa iliyotokana na vifo vya watu waliolundikwa rumande kiasi cha kukosa hewa. Baada ya kujiuzulu akajaaliwa kuwa raisi wa zanzibar, makamu wa rais na rais wa Tanzania.
Wacha karma ifanye kazi yake.
Vile vile kuhusu kukikosoa chama chako hiyo ni haki yako lakini ninavyofahamu ni kuwa nyinyi viongozi mna taratibu zenu za kuwasilisha maoni yenu maana sisi kuna mengine ya ndani hayatuhusu.
 
Ila shyrose alipiga kampein sana enzi za uchaguzi mkuu,
na alikuwa anafanya Singleton,

mara utamuona yuko kibara,
hujakaa sawa yuko kwenye mtumbwi anaelekea majita,mara yuko na vijana anawapiga shule etc.

Kweli tenda wema uende zako....
Wacha aisome namba.Kazi yake ya kupiga kampeni alimaliza anataka nini tena.Kwani yeye tu ndio inabidi awe kiongozi aache ubinafsi
 
Anatakiwa ajiongeze na afanye mambo mengine kwenye maisha yake! She need to move on! Kwani yeye alikuwa na uhakika atakuwa mbunge kwa maisha yake yote? Hili ndiyo tatizo la wanasiasa wa Afrika ambao wakishapigwa chini wanabaki kulialia. Afanye kazi ingine ili aishi tatizo nini?
Si ajiajiri tu
 
Huyu aliyejitosa kumkosoa amejiandaa kisaikolojia kukinywea kikombe wanachokinywea wakosoaji waliomtangulia?au anajifurahisha kwa kumaliza hasira zake?.
 
Huyu alikuwa ni mzigo kwa CCM, hakuwa anaisaidia CCM bali kuichafua kutokana na ulevi wake hadi mahali pa kazi. Aibu aliyoletea taifa kwa kulewa mkutanoni na kufanya vurugu kwenye ndege sababu ya ulevi alitegemea Magu mzee wa vetting za usalama angempitisha.

Na anachofanya saivi anazidi ku prove Magu yupo sahihi, dada Shy Rose hastahili ile kazi, hana akili wala mkakati wowote, kama anategemea kumtisha Magu kwa kutukana na kushinda Ghetto na Halima Mdee huku akiposti ujinga ujinga kwenye mtandao ni wazi basi alikuwa hajaiva. Mwanaume mwenye akili akijerehiwa anafunga mdomo na kufanya mikakata ya chini kwa chini, mbona kina Malima, Mkuchika na RC wa Tabora wamerudishwa kwenye system.

Mwisho na muhimu, dada Shy-Rose chunga sana unavyoshinda shinda Ghetto na Halima Mdee, Ester Bulaya hafurahii kuja kuja kwako, wivu wa mapenzi mbaya, utakuja chomwa kisa bure.
"Ester Bulaya anawivu wa mapenzi kwa Mdee" kwani Rose ana gegedeo!
 
Mdogo wangu/mwanangu Shy. Ulipokuwa unasafiri nje ya nchi mara kwa mara tulisikia vibweka vyako vingi vikiandamana na ulevi na kutumia lugha zisizo na staha.Tunajua una uwezo sana na tunakupenda kweli na hasa tukikumbuka sakata la mwanamama spika kutoka kule Uganda,ulifanya makubwa kutetea haki zake. Lakini mdogo wangu SHY hako katabia nilikokataja hapo juu kamekuangusha sana.Lengo siyo cheo lakini kwa kauli yako hii , mkuu ameshakuelewa na nina imani ana huruma na ni mpenda haki kama wewe.Nina imani atakukumbuka na siku hiyo ndiyo atakuambia makosa ili ujirekebishe.OMBI:mdogo wangu/mwanangu SHY usije ukakengeuka ukatoka CCM.Kosoa humohumo watakuelewa tu.
 
Haya leo naona kumekucha yule mtumiaji BOB LEAVES kutoka chagadema kaja na yake , huyu Patna wake katika matumizi ya BOB LEAVES kutoka chechem kaja na hili !! Leo kazi kweli kweli sijui ni kijiti cha wapi?
 
Shy-Rose Bhanji

Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya WanaCCM kwamba kila ninapotoa maoni yangu ya kukikosoa chama changu au serikali wamekuwa wananishambulia kuwa ni sababu ya kukosa ubunge wa Afrika Mashariki. Sina chuki ya kukosa ubunge na hii naisema kutoka moyoni. Siku zote nimekuwa mkweli kwamba pale panapotakiwa kukosoa sijasita kufanya hivo na pale panapotakiwa kupongeza sijasita kufanya hivo.

Kwa vile ninanyanyaswa sana ni vizuri nilitolee ufafanuzi: Huo ubunge siyo kwamba nilikosa lakini ni kutokana na majungu, fitna na roho mbaya ya baadhi ya watu....vita niliyopigwa ni kubwa sana na Mungu tu ndo anajua. Ni kweli kwamba niliumia sana sana kwasababu sikujua nimemkosea nini Rais Magufuli mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote. Isitoshe kazi yangu ya ubunge niliifanya kwa kujituma na kwa moyo wangu wote. Ulikuwa huniambii kitu pale lilipotajwa jina lake...nilifunga safari mpaka mikoani kumfanyia kampeni kwa pesa zangu mfukoni siyo kwamba anipe cheo, hapana ni kwasababu nilimwamini.

Na Naomba niwaulize hivi JK angemkata jina Magufuli baada ya kushinda kura za maoni ndani ya chama angejiskiaje? Hakika angeumia lakini nina imani angemsamehe kama vile mimi nilivomsamehe. Hizi ni nafasi leo zipo na kesho hazipo. Ni sawa na kuja duniani na kesho tunaondoka. Naomba sana sana msininyanyase kwasababu mnaniumiza moyo wangu
Rudisha majibu kwake, umuulize ktk huo ubunge alitumwa kuvinjali na watu wa Nairobi au kuiwakilisha nchi? Alidhani hiyo ni kazi ya Dodoma? Tafuteni taaluma! Ubunge usiwe taaluma.
 
Back
Top Bottom