Bashe: Ni kweli nilisema CCM wawapige CHADEMA, sababu ni hii...

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amekiri kusema kwa wafuasi wa CCM wawashambulia CHADEMA kweny mkutano wa kameni za Udiwani Mbweni mwezi Septemba mwaka jana.

Bashe amesema sababu ya kusema hivyo ni kuwa walikuwa wakielekea kwenye kampeni na kushambuliwa na wafuasi wa CHADEMA lakini polisi hawakuchukua hatua yoyote, na hivyo kuwaasa wana CCM wajilinde wenyewe watakaposhambuliwa na CHADEMA

Bashe amesema pia Freeman Mbowe aliwahi kutamka Siha akiwaambia wafauasi wa CHADEMA kuwajibu wafuasi wa CCM wanaowashambulia kwa kuwa polisi hawafanyi chcochote wanaposhambuliwa, ila hakuna mtu aliyezungumzi kauli yake hiyo

Hii nchi imefika mahali mtu akitekwa na akaja kuonekana yupo polisi watu wanashukuru Mungu kuwa yupo hai hata kama yupo sero
 
Huyu ni wakumpima mkojo hakuna namna. Haeleweki yupo kama sikara nyota.
 
Huyu naye ameanza kunichosha na matamko yake
Msepa kodi wewe ni huyu, at least huyu anajieewa na anazungumza sence, mimi nakerwa na mijitu mijinga inayojiona wajuaji kama like jizi la magari LEMA. Duh LEMA akianza tuu kuropoka nashikwa na kichefuchefu.
 
Bashe mimi naona umekosa hoja za msingi na umetumwa kwa kazi maalumu.Go to hell broza we don't need you anymore.26.04.2018
 
Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amekiri kusema kwa wafuasi wa CCM wawashambulia CHADEMA kweny mkutano wa kameni za Udiwani Mbweni mwezi Septemba mwaka jana.

Bashe amesema sababu ya kusema hivyo ni kuwa walikuwa wakielekea kwenye kampeni na kushambuliwa na wafuasi wa CHADEMA lakini polisi hawakuchukua hatua yoyote, na hivyo kuwaasa wana CCM wajilinde wenyewe watakaposhambuliwa na CHADEMA

Bashe amesema pia Freeman Mbowe aliwahi kutamka Siha akiwaambia wafauasi wa CHADEMA kuwajibu wafuasi wa CCM wanaowashambulia kwa kuwa polisi hawafanyi chcochote wanaposhambuliwa, ila hakuna mtu aliyezungumzi kauli yake hiyo

Kwa kurejea kauli ya Mbowe unahalalisha tamko lako Mhe. sana Bashe?
 
Kuna kazi maalumu huyu jamaa katumwa kuifanya. I could be wrong, but nahisi hivyo. 26/04
 
Back
Top Bottom