fedha ni kama mapambo inaweza kuja na kuondoka. unaweza kuwa na fedha usiwe na furaha. kuna watu ni matajiri sana ila hawakuzienjoy fedha zao. Tajiri wa kampuni zinazozalisha bidhaa za apple kafa na kuacha matilioni ya dola za kimarekani. sasa pesa na uhai kipi bora. yaani upate pesa kisha ufe au uendelee kuishi huku unaunga unga kisela?fedha
Eat your food like medicine otherwise you will eat your medicine like your food.Msosi
Ushindwe mwenyewe. Mungu wangu yupo rohoni mwangu natembea naye na nina furaha moyoni. Sina haja ya kutangaza hata nikifunga najipulizia perfume nzuri na natembea kama kwamba nimeshiba. Whatever you do has to be between you and God siyo matangazo.huwa hupendi mahubiri mkuu? je, wote walioko umu hawapendi kama ulivyo wewe au umejifikiria wewe tu? yanakuchoma moyo?yanakufanya ujisikie guilty? yanakufanya usisimke kama umepagawa na mapepo? sema tukusaidie mkuu.
Ukikutana na Alshababu sidhani kama hutomkana Yesu.Jesus Christ ma Savior! Chukua kila kitu niachie huyu Yesu tu.
Wo wo wo languKila mtu anacho kitu anachothamini kuliko vyote katika maisha yake, kwako wewe msomaji, ni kitu gani kina thamani kuliko vitu vyote hapa duniani kwa mtazamo wako! that thing which you value the most na umekiweka grade no. one kwako kwamba kwa mtazamo wako hakuna kitu chenye thamani kuliko hicho?
kwa maoni yako, kwa mwanadamu yeyote, nini ni kitu cha thamani kuliko vyote ambacho pengine yeye hata hajui kama ni cha thamani?
Ukikutana na Alshababu sidhani kama hutomkana Yesu.
atakayenionea haya mbele za watu mimi pia nitamuonea haya mbele za baba yangu. funguka.Ushindwe mwenyewe. Mungu wangu yupo rohoni mwangu natembea naye na nina furaha moyoni. Sina haja ya kutangaza hata nikifunga najipulizia perfume nzuri na natembea kama kwamba nimeshiba. Whatever you do has to be between you and God siyo matangazo.
Yesu co kitu ni mtu.JESUS CHRIST AND POWER OF GOD