Recent content by semundi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aanza mashambulizi upya!!

    kweli ukombozi unaelekea kupatikana, kumwagika kwa damu za mashujaa hawa ni ishara tosha kwa ccm kuwa chonjo kwan muda wowote nchi inachukuliwa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

    thus good makanda tunawaombea kila la heri i do believe jhimbo hilo ni la chadema
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mapato ya mbunge wa bunge la Tanzania kabla ya kujiongezea posho

    maisha ni magumu kwa watanzania wote kwasasa ivo serikali sikivu inabidi kuangalia sekta zote kwa makini ili kuboresha posho za wafanyakazi wote
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za Lazaro Nyalandu na Mary Nagu kujuzulu hizi hapa

    na hii ndio hasara ya kuchagua viongozi kwa kujuana bila kuangalia huwezo wa m2, hakika tutaendelea kuwa maskin mpaka tupate akili
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa wilaya mahakamani kubatilisha matokeo ya uchaguzi- Ushindi Chadema

    ni lazima maamuzi ya wananchi yaheshimiwe bt wakiendelea kutumia ubavu wanaoutumia wataleta machafuko ktk jami
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

    maisha yamepanda kwa nchi nzima na sio dodoma peke yake na hii ni kutokana na uchumi wetu ulivyo kwa sasa kila kukicha unazidi kuporomoka hivyo ni jambo la busara kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wote na sio wabunge peke yao.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Muungano lazima ujadiliwe

    hakuna umoja utakao endelea kama CCM hawatakubali kubadilisha sheria ambazo zimemlimit mwananch wa kawaida kuwa huru ktk mchakato mzima wa katiba mpya. na wasipokuwa makini lazima damu imwagige nchi hii.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chadema yaamua kutimkia mikoani kutimua vumbi la mchakato wa katiba mpya

    aluta continua makamanda mapambano yanaendelea just keep it up tuko nyuma yenu
  9. S

    JamiiForums Tanzania CUF wasaliti wa wazanzibari!

    kama kweli wazanzibar wataliona hili nadhan watasema kitu, mi yangu macho maana nikisema nitaonekana chadema
  10. S

    JamiiForums Tanzania Shibuda ampokea Kikwete Dodoma

    kwenye shughuli ya CCM shibuda kafata nini? ngoja tuone mwisho wake
  11. S

    JamiiForums Tanzania JOB NDUNGAI yuko wapi jamani?

    Adui mwombee njaa, kama amechoka basi aachie hiyo ngazi vijana wa kongwa wanakuja kwa speed ya ajabu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa CHADEMA kusaidiwa na Ujerumani huu hapa na ule wa CCM hapa hapa!

    ngoja nimeze mate
  13. S

    JamiiForums Tanzania Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

    sina huakika kama huyu mamani mzima bt ngoja tumuangakietuone mwisho wake kwan naamin ataishia pabaya
  14. S

    JamiiForums Tanzania KATIBA: Salim, Warioba wakutana na Dr. Slaa

    nahukuru kuona waasisi wa chama wamelitambua hilo, kinacho endelea dodoma ni unafiki na kurushiana vijembe visuvyo kuwa na ticha kwa taifa hili na CCM ndio watakuwa wa kwanza kuvuruga amani ya nchi hii
  15. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    nasikitika kuona CCM bado hajatambua nini maana ya mabunge ya vyama vingi, na wananci waelewa hakuna kilichoboresha muswada huu zaid ya kuwatupia maneno chadema hakika ujumbe umefika tena kwa asilimia zote na watanzania ilo tulielewe
Back
Top Bottom