Sababu za Lazaro Nyalandu na Mary Nagu kujuzulu hizi hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu za Lazaro Nyalandu na Mary Nagu kujuzulu hizi hapa

Discussion in 'Great Thinkers' started by Game Theory, Feb 19, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Mods na Admin namomba muiache hii thread hapa kwani inaonyesha jinsi gani wanasiasa wanvyoirudisha nyuma hii nchi


  Mary Nagu anasema wazi kuwa hawezi kufanya mkutano wa siku 3 mfululizo kila miezi 3 na wawekezaji na wafanya biashara wa ndani na nje ya Tanzania kama wanavofanya Rwanda ili kujadili issues ambazo wanakabiliana nazo kama vile:

  TRA
  BRELA
  TPA
  ARDHI
  IMMIGRATION
  TIC

  Hii imekuja baada ya kumjibu mmoja kati ya wawekezaji toka Kenya ambaye hivi karibuni ilibidi afunge biashara yake ya Retail pale mlimani city.

  Sasa Mary Nagu hakujali serikali inakosa mapato kiasi gani, Hakujali waTanzania wangapi wanakosa ajira na pia hakuangalia umuhimu wa kukutana na mwekezaji huyu ambaye kaamua kwenda kufanya biashara Rwanda.


  Upande wa Lazaro. Huyu naye anadai kuwa Mama Nagu kila kitu kashikilia yeye na watu wake hivyo inakuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na anaona bora aendelee na biashara zake binafsi na kuendelea kutengeneza network ya biashara zake kwani mikono yake imebanwa

  Lakini wana JF ningependa kuwafahamisha kuwa wafanya biashara wengi wa Tanzania wanaona bora waende kufanya biashara Rwanda na Msumbiji kuliko Tanzania ambako kwa KUSUDI serikali inawarudisha nyuma na inafanya mazingira ya kufanya biashara kuwa magumu zaidi.

  lakini hebu Tazama hii ripoti:

  Doing Business in Tanzania - World Bank Group


  Minimum kufungua new business in Tanzania kama hutaki inacost laki 7. Je kweli tutakuwa na taifa lenye ma entrepreneurs?

  Mwisho ningependa kupmba mwenye CAG report ya BRELA atuwekee hapa tuijadili

  Naomba Mods/Admin msihamishe hii thread kwani inawagusa wanasiasa na ina ya muhimu sana ambayo itabidi yaangaliwe
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mawaziri wametanguliza maslahi kwa CCM na matumbo yao kuliko Taifa. Ukiwapa 10% ama kuchangia CCM utaona unasamehewa mpaka kodi!
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hawana tofauti na JK. Tusikate matawi na kuacha mizizi iendelee
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kufanya bishara bongo ni shughuli, hiyo TIC one stop shop ni uongo mtupu. ukienda ardhi pale rushwa imeshika kasi na wafanyakazi wapo pale miaka nenda rudi kabla hujamaliza kusema shida yako anakwambia njoo wiki ijayo ,ukija wiki ijayo hata hakumbuki kwamba alikwambia uje anaanza kukuuliza tena ndio atakwambia uje wiki inayofuata.yaani bongo kuendelea ni ndoto.

  Nilienda brela one time kuangalia record ya kampuni moja kui KYC mwenyewe nikachoka maana unalipia kwa hiyo huduma lakini hayo mafaili yalivyo kienyeji wanaweza kutafuta mwaka mzima.

  Bongo kuendelea ni ndoto na wachawi ni viongozi wetu,siamini kama mawaziri wanaohusika hawasikii hizi kelele.
   
 5. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kama waziri anasema wazi hawezi kufanya kazi yake na naibu wake anakiri kudhibitiwa kufanya kazi kuna sababu gani
  1. Kuwa na huyo waziri asiye tayari kufanya kazi
  2. Naibu asiye na uhuru wa kufanya kazi yake chini ya waziri kamili?

  JK tafadhali kama hiyo reshuffle ipo ije haraka na hawa waweke kando hawastahili kutumia kodi zetu bila kufanya kazi inayowahusu, huo ni wizi hakuna tofauti na mporaji barabarani.
   
 6. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  hii nchi inahitaji KAGAME wa tanzania hizi demokrasia kwenye kila kitu tutaendelea kuwa maskini hadi yesu atakaporudi
   
 7. s

  semundi Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  na hii ndio hasara ya kuchagua viongozi kwa kujuana bila kuangalia huwezo wa m2, hakika tutaendelea kuwa maskin mpaka tupate akili
   
 8. dkims

  dkims Senior Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wanawake wakiwezeshwa ........ ?? hilo ndo tatizo lakuangalia jinsia badala ya uwezo wa kazi,..!
   
 9. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo mawaziri wetu ndo wafanya biashara so wanaamua kukwamisha mambo maksudi kwa manufaa yao wenyewe

   
 10. M

  Madesa Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tinker taylor hapo umenena, mimi nimefungua kiwanda kanda ya ziwa ila usumbufu nilioupata simshauri yeyote afanye biashara Tz, imagine ni mwendo wa mizinga na delays kuanzia mpakani, TRA,TANESCO, TIC,Polisi, city council na kwingine kote unakopita,nimesumbuka toka August 2011 mpaka jan2012 na bado sijamaliza mahitaji yao,sijui kesho itakuwaje
   
 11. a

  arigold JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  Mimi sioni cha ajbu hapo. Kosa lao ni lipi hasa hapo? Naomba wenye kuleta siasa za vyama waaache hapa kuna jambo linatafutwa

  Mbona hizi tafifiti haziletwi kwenye magazeti yetu?
   
 12. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Yaani kama ni kujiuzulu ni Serikali nzima inatakiwa ijiuzulu Kuanzia J. K. hadi Mawaziri wake. Kiongozi unaona madudu yanafanyika na wewe unanyamaza kimya labda kwa sababu una uhusiano naye, pia hufai kuongoza. Aende akalime Mihogo naye.......

  ACHENI NISEME HATA KAMA MKI.................... ACHENI NISEME. HATA MKININYONGA LAKINI HAKI YA WALALAHOI ITOENI

  "J. KIKWETE NA TIMU YAKE YOTE WANAPASWA KUONDOLEWA MADARAKANI"  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  si angekutana nao wakajaribu kutatua yalojiri?
   
 14. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania viongozi huwaga hawajiuzulu!!! bado hujaelewa tuuu!
   
 15. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Aina ya mikataba yao ya ajira ni ipi? Perfomance contract or permanent contract?...... probably the latter, and if so then what one can expect out there?
   
Loading...