SILENT WHISPER
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 2,209
- 821
Nilitaka nimtukane kuwa yeye ni FWALA...KAMA WIGI LAKE...! ila ngoja nikae kimya..!
Kumbe hata wao wanajua wamepitisha kitu feki kitakachowarudi.Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa chadema hawajaitumia haki yao ya kuchangia mswada huu, nilittegemea mswada huu usingeisha leo, ungekaa wiki nzima kutokana na amendments ambazo wangeziwasilisha"
Hii ina maana kwamba mswada umepitishwa leo kutokana na wabunge walioshiriki mjadala ambao ni zaidi ya 300 kutotoa amendments za kutosha, hivyo kukosekana kwa mchango wa wabunge wa CDM kumedhoofisha maboresho ya mswada huo.
sifa ya wanasiasa wa ccm ni unafiki na uongo.
Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa chadema hawajaitumia haki yao ya kuchangia mswada huu, nilittegemea mswada huu usingeisha leo, ungekaa wiki nzima kutokana na amendments ambazo wangeziwasilisha"
Hii ina maana kwamba mswada umepitishwa leo kutokana na wabunge walioshiriki mjadala ambao ni zaidi ya 300 kutotoa amendments za kutosha, hivyo kukosekana kwa mchango wa wabunge wa CDM kumedhoofisha maboresho ya mswada huo.
Ana matatizo ya kutamka hei na echiMkuu ulimaanisha "Anajikosha tu hana jipya au?
huyu mama mzee kwa akili zake za kizee anathubutu kusema hivyo??? anelezea umma kuwa muswada umepita ukiwa na mapungufu kibao ambayo yamepitishwa na magamba na nyumba yake ndogo (CUF), bila kufanya amendments za kujenga jamiii. Huyu mbibi ni mp........... kweli. Au anajikosha kwa CDM? yeye toka mwanzo alikuwa upande wa magamba. nikiendelea nitatukana bure wakati nimeungama leo sitaki dhambiSpika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa chadema hawajaitumia haki yao ya kuchangia mswada huu, nilittegemea mswada huu usingeisha leo, ungekaa wiki nzima kutokana na amendments ambazo wangeziwasilisha"
Hii ina maana kwamba mswada umepitishwa leo kutokana na wabunge walioshiriki mjadala ambao ni zaidi ya 300 kutotoa amendments za kutosha, hivyo kukosekana kwa mchango wa wabunge wa CDM kumedhoofisha maboresho ya mswada huo.
Hana lolote labda mpaka siku akitoa wigi akili ndo zitamurudia.