Chadema yaamua kutimkia mikoani kutimua vumbi la mchakato wa katiba mpya

user-online.png
Rejao

Chadema leo wanaweza wakafanya kitu kizuri ukaapreciate ambacho kweli kimapose threat kwa serikali,especilly Zitto na Mnyika but baada ya muda wanaharibu completely.

user-online.png
Rejao

Wangewatumia wananchi kuwaelezea hayo mapungufu na wananchi wafanye maamuzi cuz wao ndio waajiri wao. Kitendo cha kwenda Ikulu kimefanya serikali kurelax.

Hapa umenena kweli, naona misimamo yako imeanza kupungua ahsante sana
 
Lowasa jana kazungumza kushukuru kuona namna mchakato wa katiba mpya unavyokwenda kwa amani. Kwamba kwa nchi zingine huwa inapelekea machafuko. Lakini nilimsoma lowasa hapa ni kwamba kama cdm wanataka utawala hapa palikuwa mahala pake. Lakini uamuzi wa cdm kwenda ikulu umepunguza sana nguvu ya mabadiliko kupitia agenda ya katiba. Binafsi nakubaliana na mh kafulila kuwa katiba tunayotaka watanzania haiwezi kutoka mikononi mwa sisiemu na serikali yake tena kwa mazungumzo bila tishio la nguvu ya umma. Huu ndio ukweli jamani. Sijui uongozi wa juu unatazamaje sura hii. Labda watwambie kwamba hapo walipofika ndio mwisho wa ujasiri wao mbele wanaona hofu ya moto tuweke wengine mana kila watu na jukumu lao. Nilisikitika sana kusoma kwenye facebook kuona viongozi wa juu mnatoa maneno ya matumaini kumsifia mbowe na jk kwa kufanikisha mazungumzo. Nilisikitika zaidi kuona chama kinasaini maazimio yale ambayo kwa niaba ya cdm amesaini mnyika na kwa jk amesaini nchimbi. Pale sikuona azimio la maana kwa chama kuangusha wino. Ilikuwa nafuu kikao kingemalizika bila mwafaka kama mazimio yenyewe ni yale eti pamoja na muswada kusainiwa lakin marekebisho yafanyike. Sasa kwani hicho si kitu cha kawaida kwa sheria yeyote? Kwani ilikuwa lazima kwenda ikulu ili kupata hilo azimio jamani? Tusirefushe safari jamani. Saa ya ukombozi ni sasa. Umma upo tayari. Viongozi mnalegalega. Uhuru hauji kwenye sahani. Cdm ni muda kujisahihisha. Hasira ya umma imezidi hasira ya viongozi wa cdm kwa ccm. Hapa ndipo kuna mlinganyo wa kutafutiwa majibu mapema.
 
Kiukweli tunategemea Chadema itukomboe kwa hili tuko tayari tunasubiri watuambie kifuatacho. Aruuuta Chadema!!!!!!1
 
Hakuna mapambano yasiyo na mkakati. Makamanda wa mikakati ya CHADEMA wapo CHADEMA hawawezi kutokea CCM. Hao wanaojinadi hapa kama washauri wa kile ambacho Viongozi wa CHADEMA wangefanya ili kufanikisha mapambano yao na hali hawaitakii jema CHADEMA wanawahadaa watu. Kama wana huo uwezo kama wanavyodai kwa nini wasiutumie kuwashauri viongozi wa CCM wanaohaha namna ya kuendeleza MPANGO WA KUJIVUA MAGAMBA ambao ni kana kwamba umekwama? CCM ni chama kikuu kuliko CHADEMA chenye historia tangu wakati wa TANU kupigania ukombozi wa nchi hii na haki za wanyonge kupitia Azimio la Arusha chini ya uongozi wa kupigiwa mfano wa Mwalimu Nyerere. Kwa nini leo kimeshindwa kukidhi matarajio ya Watanzania na kuonekana kama kinawakumbatia mafisadi? Hivi ni kweli kuwa hakuna mtu ndani ya CCM leo anaweza kubadilisha mwelekeo huo mbaya wa chama hadi watu wakione CHADEMA kuwa ndio kimbilio lao? Wenye kuitakia mema nchi hii ama watakisaidia CCM kirejeshe imani kwa wananchi kukisafisha (jambo ambalo ni gumu) ama wakiimarishe CHADEMA chama kinachoonekana kurejesha matumaini ya wananchi wapenda maendeleo. Nawasilisha
 
mkuu mi nadhani walikua sahihi,kwani unapo dai haki unatakiwa uidai hatua kwa hatua kutoka nje ilikua hatua ya kwanza kwa lengo la kutokua katika kundi la kuupitisha mswada,lakini pia njia ya pili ni kwenda kumlalamikia rais juu ya haki ya wananchi kupokonywa,then ni kwenda kuishitaki serikali kwa wananchi kwani wao ndio wawakilishi wao kwa serikali,mwisho ni nini wananchi wataamua hapo ndipo nguvu ya umma yenye mkono wa mungu husimama kitete mpaka kieleweke

Mkuu aksante kwa maelezo yako Mazuri!
 
Mimi ni MCHADEMA ila kitendo cha Chama changu kwenda Ikulu na Kuongea na JK kimeniuthi na kunikatisha tamaa. Haikuhitajika hata elimu ya darasa la saba kujua eti Rais yule yule aliyewashinikiza wabunge wake wapitishe mswaada eti atagoma kuusaini mswaada mara baada ya kupitishwa na wabunge wake. Mbowe, Lissu, Baregu, Mnyika, Safari, Arfi, etc kwa kweli imani yangu kwenu imepungua sana.

Wewe Tumbiri siyo CDM bali umeact. Mbona kila kitu kipo wazi sasa umekomea wapi kuelewa.
Kama wewe ni CDM kweli wabesabu viongozi wako ni mashujaa wa kweli katika vita hii ya katiba wanai handle vizuri mpaka saizi.
 
Mimi ni MCHADEMA ila kitendo cha Chama changu kwenda Ikulu na Kuongea na JK kimeniuthi na kunikatisha tamaa. Haikuhitajika hata elimu ya darasa la saba kujua eti Rais yule yule aliyewashinikiza wabunge wake wapitishe mswaada eti atagoma kuusaini mswaada mara baada ya kupitishwa na wabunge wake. Mbowe, Lissu, Baregu, Mnyika, Safari, Arfi, etc kwa kweli imani yangu kwenu imepungua sana.

Kilichofanyika ni kwamba' ukitaka kujua mjinga anawaza nin' basi msikilize.Kiukweli ilikuwa ni sehemu nzuri ya kuanzia,nawameipata kwasasa wanayo mengi ya kuwaambia wananchi.
 
Tukubali tu chadema kwa issue ya katiba wamechemsha. Kitendo cha kutoka bungeni, then baada ya muda wakaenda kujikomba kwa JK ikulu, kimefanya kila mtu akose na imani nacho

kwani unafikiri hilo likatiba la kijinga likitungwa atakayeumia ni CDM peke yake?vpi umeshawaza kuhusu ndugu zako,wajukuu zako na nyumba ndogo zako ama ndo akiri yako fupi kama ya funza kwamba unaishi kwa ajiri ya leo?

Kama unaona CDM pekee ndo itapoteza basi subiri mda ukifika utaelewa tu.
 
Tukubali tu chadema kwa issue ya katiba wamechemsha. Kitendo cha kutoka bungeni, then baada ya muda wakaenda kujikomba kwa JK ikulu, kimefanya kila mtu akose na imani nacho

Cdm waliamua kutumia busara zaidi kuliko maslahi, mkuu ktwa na imani nao utajaona na kukubali nia yao yakufanya hivyo
 
Mwana mapinduzi hafahidi mapinduzi bali watakuja kufaidi watu wengine ambao ndo sisi wananchi, so cdm they fight for us not for themselves as magamba did now
 
Lugha chafu za nini? kubali mapungifu ya chadema. They are all human beings n not gods. Kwa hili la kwenda ikulu tukubali walikosea.Period!!!

kwa maana hiyo ikulu pamefanywa kuwa pabaya na kikwete! unatukubalia kikwete ni mbaya eeh! kweli ccm na wanaccm hawajitambui, kama cdm kwenda tu ikulu wamekuwa wabaya je ccm wanaokaa ikulu ubaya wao umepindukia kiasi gani! REJAO kama mtizamo wako juu ya ikulu ni huu, mshauri kikwete atoke pale!!!!!!
 
Lowasa jana kazungumza kushukuru kuona namna mchakato wa katiba mpya unavyokwenda kwa amani. Kwamba kwa nchi zingine huwa inapelekea machafuko. Lakini nilimsoma lowasa hapa ni kwamba kama cdm wanataka utawala hapa palikuwa mahala pake. Lakini uamuzi wa cdm kwenda ikulu umepunguza sana nguvu ya mabadiliko kupitia agenda ya katiba. Binafsi nakubaliana na mh kafulila kuwa katiba tunayotaka watanzania haiwezi kutoka mikononi mwa sisiemu na serikali yake tena kwa mazungumzo bila tishio la nguvu ya umma. Huu ndio ukweli jamani. Sijui uongozi wa juu unatazamaje sura hii. Labda watwambie kwamba hapo walipofika ndio mwisho wa ujasiri wao mbele wanaona hofu ya moto tuweke wengine mana kila watu na jukumu lao. Nilisikitika sana kusoma kwenye facebook kuona viongozi wa juu mnatoa maneno ya matumaini kumsifia mbowe na jk kwa kufanikisha mazungumzo. Nilisikitika zaidi kuona chama kinasaini maazimio yale ambayo kwa niaba ya cdm amesaini mnyika na kwa jk amesaini nchimbi. Pale sikuona azimio la maana kwa chama kuangusha wino. Ilikuwa nafuu kikao kingemalizika bila mwafaka kama mazimio yenyewe ni yale eti pamoja na muswada kusainiwa lakin marekebisho yafanyike. Sasa kwani hicho si kitu cha kawaida kwa sheria yeyote? Kwani ilikuwa lazima kwenda ikulu ili kupata hilo azimio jamani? Tusirefushe safari jamani. Saa ya ukombozi ni sasa. Umma upo tayari. Viongozi mnalegalega. Uhuru hauji kwenye sahani. Cdm ni muda kujisahihisha. Hasira ya umma imezidi hasira ya viongozi wa cdm kwa ccm. Hapa ndipo kuna mlinganyo wa kutafutiwa majibu mapema.[/QUOTE

Oya, we February usijifanye huelewi. Kosa la CDM kwenda ikulu ni nini? Jamaa wamekwenda kupeleka ujumbe tuu ili baadae wasilaumiwe kama wananvyolaumiwaga. Mbona ni jambo rahisi tuu. Mapambano wakati mwingine yanaanza na mazungumzo hata kama upande mmoja umeshachukua maamuzi. Baada ya hapo njia nyingine zinafuata. CDM wametoka bungeni wakawa wanapigwa vijembe na Magamba na wake zao CUF. Wameenda ikulu wamepuuzwa, hatua ya tatu ndio hii ya kurise awareness kwa public alafu hatua nyingine watatupa. Binafsi nawaunga mkono na nawapongeza kwa kwenda kisayansi sasa ivi. Magamba kama wana akili wakae chini wajitafakari katika hili sakata la katiba mpya.
 
Lowasa jana kazungumza kushukuru kuona namna mchakato wa katiba mpya unavyokwenda kwa amani. Kwamba kwa nchi zingine huwa inapelekea machafuko. Lakini nilimsoma lowasa hapa ni kwamba kama cdm wanataka utawala hapa palikuwa mahala pake. Lakini uamuzi wa cdm kwenda ikulu umepunguza sana nguvu ya mabadiliko kupitia agenda ya katiba. Binafsi nakubaliana na mh kafulila kuwa katiba tunayotaka watanzania haiwezi kutoka mikononi mwa sisiemu na serikali yake tena kwa mazungumzo bila tishio la nguvu ya umma. Huu ndio ukweli jamani. Sijui uongozi wa juu unatazamaje sura hii. Labda watwambie kwamba hapo walipofika ndio mwisho wa ujasiri wao mbele wanaona hofu ya moto tuweke wengine mana kila watu na jukumu lao. Nilisikitika sana kusoma kwenye facebook kuona viongozi wa juu mnatoa maneno ya matumaini kumsifia mbowe na jk kwa kufanikisha mazungumzo. Nilisikitika zaidi kuona chama kinasaini maazimio yale ambayo kwa niaba ya cdm amesaini mnyika na kwa jk amesaini nchimbi. Pale sikuona azimio la maana kwa chama kuangusha wino. Ilikuwa nafuu kikao kingemalizika bila mwafaka kama mazimio yenyewe ni yale eti pamoja na muswada kusainiwa lakin marekebisho yafanyike. Sasa kwani hicho si kitu cha kawaida kwa sheria yeyote? Kwani ilikuwa lazima kwenda ikulu ili kupata hilo azimio jamani? Tusirefushe safari jamani. Saa ya ukombozi ni sasa. Umma upo tayari. Viongozi mnalegalega. Uhuru hauji kwenye sahani. Cdm ni muda kujisahihisha. Hasira ya umma imezidi hasira ya viongozi wa cdm kwa ccm. Hapa ndipo kuna mlinganyo wa kutafutiwa majibu mapema.

Oya, we February usijifanye huelewi. Kosa la CDM kwenda ikulu ni nini? Jamaa wamekwenda kupeleka ujumbe tuu ili baadae wasilaumiwe kama wananvyolaumiwaga. Mbona ni jambo rahisi tuu. Mapambano wakati mwingine yanaanza na mazungumzo hata kama upande mmoja umeshachukua maamuzi. Baada ya hapo njia nyingine zinafuata. CDM wametoka bungeni wakawa wanapigwa vijembe na Magamba na wake zao CUF. Wameenda ikulu wamepuuzwa, hatua ya tatu ndio hii ya kurise awareness kwa public alafu hatua nyingine watatupa. Binafsi nawaunga mkono na nawapongeza kwa kwenda kisayansi sasa ivi. Magamba kama wana akili wakae chini wajitafakari katika hili sakata la katiba mpya.
 
Binafsi si mwanachama wa CDM lakini katika hili la kwenda Ikulu kumuona JK, ni moja kati ya maamuzi ambayo naendelea kuamini hawa jamaa wanafikiria mbali sana na ulikuwa uamzi wa busara kati ya maamuzi ambayo wamewahi kufanya. Kwanza naamini walijua kabisa JK lazima atasaini ule mswada lakini walitaka wapate mahali pakuanzia. Fikiria nchi ilivyokuwa tete wakati kabla hawajaenda kuonanan na JK, naamini IGP na Mwanyange huenda walikuwa wameshijiandaa kuwakabili na kuwakamata viongozi wa CDM, lakini hiyo busara waliyotumia hawa jamaa lazima ukubali kuwa walikaa na kufikiri
 
Lugha chafu za nini? kubali mapungifu ya chadema. They are all human beings n not gods. Kwa hili la kwenda ikulu tukubali walikosea.Period!!!

Huna ujualo wewe.. Ningekuon kidoogo muelewa endapo ungewaponda CUF walioshinikizwa kwenda IKULU PASI NA AJENDA.. CDM ina mikakati na kuna VICHWA c mahogasi yaliyojaa CCM..Najua unaitamani CDM ingekua CCM.. SUBIRI HAPO HAPO UTAIJUA CDM..
 
Mimi nawapongeza Chadema kwa kuachana na maandamano yasikuwa na tija kwa taifa...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom