Recent content by SeanJR

  1. S

    Viti maalum- CHADEMA

    Mmmh,hilo nalo neno!
  2. S

    Shocking Truth Kutoka Loliondo

    Wee acha ubwege,tusime Tanzania redio ipo moja,kwann redio zingine zistangaze? Au kwanini usikie wewe mwenyewe? Watu wengine bhana! Acha kupotosha jamii..
  3. S

    Watu 200 waliojitolea kupimwa -- jee, walipimwa awali kwamba walikuwa wanaugua maradhi hayo?

    Nashukuru kwakujitambua upeo wako ni mdogo,hiyo imenizihirishia according to your thread!! Wagonjwa wamepimwa kabla na baada yakupata kikombe cha babu watapiwa tena na hapo 2tapata uzibisho yakinifu!! Umeipatapata mkuu...
  4. S

    salaam

    ng'ombe!! Wee kweli ng'ombe! Karibu na ung'ombe wako
  5. S

    Lipumba: JK atamaliza urais vibaya

    Haa ha haaa, Yupo mitaa ya hapa kwetu alikua mpole alivyofika miezi 7 tu,mara nataka kuku,ukileta anazira na anakuambia amekinai hataki tena nlitee udongo! Ndo hali ya lipumba...CDM walipita mikoani kupinga mfumuko wa bei,kuilipa dowans,kufeli kwa 4m 4,kudai katiba mpya n.k,lipumba akadai...
  6. S

    Lipumba: JK atamaliza urais vibaya

    Gama una macho ila ukipofu ,unamasikio ila u kiziwi! Lipumba ukimfuatilia huoni mcmamo wake,cku chache alikua akiponda CDM na kumtukuza kikwete,kwenye hii thread yake anamwambia kikwete atamaliza vibaya! CDM Ilipita mikoani ikipinga ugumu wa maisha,kuilipa dowans na n.k,lipumba hakuliona hilo...
  7. S

    Lipumba: JK atamaliza urais vibaya

    lipumba *****,anatapatapa ka mwanamke mjamzto wa miezi 7! Haeleweki anamcmamo gani! Rabish lipumba
  8. S

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Ha ha ha,mediaman nshakuelewa vizuri ww ni mtu wa namna gani!!Mungu ni muweza na Babu hajasema anafuata nyayo za Yesu, nilikupa mfano wa tope ili ujue mti nizaidi ya tope! Kuna mifano mingi sana kweny biblia,pia wengine waliambiwa wakajitose baharin mara saba watapona kikubwa ni IMANI na NENO...
  9. S

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Ha ha ha,mediaman nshakuelewa vizuri ww ni mtu wa namna gani!!Mungu ni muweza na Babu hajasema anafuata nyayo za Yesu, nilikupa mfano wa tope ili ujue mti nizaidi ya tope! Kuna mifano mingi sana kweny biblia,pia wengine waliambiwa wakajitose baharin mara saba watapona kikubwa ni IMANI na NENO...
  10. S

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Uislam upo wazi eeh?? Kalabaghao...! Endelea kukaa na majini yako maimuna,makata n.k na mihirizi then kwa neno la Yesu Kristo watu wanapona na wanajiandaa kwa Paradiso,ww na majini unaedai niviumbe ka viumbe wengine i hope unajua makata,maimuna watakakoenda baada yamaisha then uungane nao! Kam...
  11. S

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Kweli siri imejulikana kwamba wewe mediaman na babako shetani mna mkakati wakupotosha jamii kwa kukariri baadhi ya mistari,Jesus aliponya hata kwa tope na kwa neno! Unavyosema hakutumia gome la mti,em' soma Ezekiel 47:12 na kama haitoshi soma ufunuo 22:2!!
  12. S

    Tanzania kama hatuna rais vile

    kweli kabisa hakuna lamuhimu lakujivunia kwake au kumkumbuka kwa jambo lamaana!! Nakumbuka kipindi cha uhai wa Mlm.Nyerere (94/95) walipendekeza mtu wakugombea urais,baadhi wakamchagua kikwete ila Nyerere akakataa akasema huyu bado mdogo (mtoto)! Wengi walijua utoto wake upo kwenye umri kumbe LA...
  13. S

    habari za mchana huu wa JF

    Nakushauri ukapime utimamu wako wa ubongo then ndo urudi kwenye thread! Maendeleo gani mkwere ameleta hadi 2we nashukuran juu yake! Mfumuko wa bei,kulipa kampun hewa kwa kodi ze2? Ww kilaza hivi unaelewa upo wapi?
  14. S

    Dowans kwishinei kabisa

    Drphone,upo makini sana mkuu! Wanao2akilisha nao wasizubae maana hii serikali ya Tanzania ipo kihuni sana! Dr.Slaa na wengine wengi wenye uchungu na hili taifa wakumbusheni wawakilishi(wabunge) we2 wawe makini sana,2sijepigwa changa la macho!
  15. S

    Wanajeshi watembeza kipigo kwa raia Zanzibar

    MAMMAMIA,sio demokrasia kila mmoja kufanya anavyotaka! Ila mleta mada katuambia jamaa mke wake kaibiwa,kaenda kuchek inakuaje wanampga namawe..hata ukiangalia kiuhalisia ingekua nimmoja wapo wa hao wa2 knachofuata nikipgo tu wala sio kwamba vbaka nao warevange,c lengo! Lengo nikuwakomesha vibaka...
Back
Top Bottom