habari za mchana huu wa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

habari za mchana huu wa JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ypointer4, Mar 12, 2011.

 1. ypointer4

  ypointer4 JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 404
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 80
  mh
  hivi ndo naanza nahaswa pale nnapo pata wasiwasi juu ya wanasiasa wa TANZANIA juu ya siasa zao au ndo kama ule msemo wa usiache mbachao kwa msala upitao????
  HOJA ZA MSINGI NIKUONA
  1, TUMESAHAU KABISA MAANDAMANO YA CHADEMA.
  2, TUMESAHAU KABISA SUALA LA DOWANSI. NA MGAO WA UMEME KIUJUMLA.
  3, TUMESAHAU KABISA SUALA ZIMA LA BOMOA BOMOA
  4, KUPANDA KWA SUKARI NA NAULI

  LAKINI CHA KUSTAAJABISHA NI PALE NNAPO ONA VYOMBO VYA HABARI NA HUSUSANI MAGAZETI YAMEPAMBA MOTO KWA HABARI ZA LOLIONDO.....
  JE KWAMSIMAMO KAMA HUU TUTA FIKA?????????
   
 2. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tetesi iko wapi hapo? Tafadhali jifunze matumizi sahihi ya threads.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  o. KATIBA

  Sisemi kitu hapa,

  kila kifanywacho if we dont have clear goals tunataka nini na tusipofikia muda tuka-jievaluate then ni comedy
   
 4. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna nini cha kujadili kuhusu Dowans? Hukumsikia Speaker alisema hilo suala liko mahakamani?

  Ni kitu gani ambacho hujasikia kuhusu Dowans? Unataka tujadili nini wakati takwimu zinaonyesha uchumi unakua? Kuhusu sukari bei kuwa juu hujamsikia Waziri Mkuu amesema bei ishuke? Na Waziri mwenye dhamana wa Biashara na Viwanda ametoa vibali sukari iagizwe kutoka nje, si basi?

  Umeme sio tatizo nchini kwetu. Ni asilimia ngapi ya wananchi wana umeme? Na kama ni hatua si tumeambiwa zimechukuliwa tangu 2006?

  Viongozi wetu wanachapa kazi. Sana tu. Hii nchi wameitoa mbali ni wachache tu wasio na shukrani ndio hawaoni. Amani na Utulivu.

  Just like my words so is our life, full of irony!
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Watanzania wengi hatuko siriasi
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  :A S-coffee:....
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa hiyo tufanyaje?? shauri badala ya kulaumu-naomba muongozo!!
   
 8. S

  SeanJR Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushauri ukapime utimamu wako wa ubongo then ndo urudi kwenye thread! Maendeleo gani mkwere ameleta hadi 2we nashukuran juu yake! Mfumuko wa bei,kulipa kampun hewa kwa kodi ze2? Ww kilaza hivi unaelewa upo wapi?
   
Loading...