MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Jamani hii ni haki? CHADEMA ina kiti zaidi ya kimoja katika mkoa wa Shinyanga lakini haina mbunge wa viti maalum kutoka katika mkoa huo ilhali Mkoa wa Singida una Mbunge wa viti maalum wakati ina mbunge mmoja tu wa jimbo tena mbunge huyo ni kaka wa mbunge wa viti maalum> Nisaidieni hili!
Acha kutufuatafuata CDM na wasukuma wapi na wapi! walitupa kura za ubunge kimakosa hatupanga tangia mwanzo kutoa viti maalum SHY. Pia tuna usongo na SHIBUDA, nyie SHY kuna viti maalum toka CCM vinawatosha.