Recent content by seamlessly

  1. S

    Chitanda ajiunga na CCM

    Zitto anaishi ktk mateso makubwa sana sasa hivi. Ana mapepo 3. 1. Pepo la umaarufu wa vyombo vya habari, 2. Pepo la kuongoza CDM kwa maelekezo ya CCM na 3. Pepo la uongo, fitina na uchimvi. Mapepo haya wakati huu hayapati mahitaji yake kwa muda na kiwango yanayotaka, yanamtesa!
  2. S

    Huyu ndiye aliyesema siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa...!

    Ameshaongea naye, na sasa ameshasikilizwa! Hii dunia ni ndogo sana.
  3. S

    Suzuki jimny for sale

    Year of manufacture: 2006, Manual Transmission, Car radio/Cd player/Audio Tape, Central locking System, Gear lock, Roof rack carrier,55K km run, in very good condition. Asking price 8m. Interested buyers welcomed here.
  4. S

    Natamani CCM watangaze rasmi kukataa kura za watumia gongo

    CCM inaendesha nchi kwa shuruti-ilipiga marufuku usafiri wa bodaboda na Noah lakini imelegezwa na nguvu ya umma,ilikamata watu kwa uzembe na uzururaji leo hawathubutu,michango ya ovyo imekataliwa na kodi ya kichwa walilazimishwa kuondoa,hata gongo wataruhusu kabla ya 2015 kwa kulazimishwa na...
  5. S

    JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

    Endelea kuelimisha hawa wenzetu wa MIZIGO,hatimaye fahamu zitawarudia wataelewa.
  6. S

    Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Ndg. Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

    Uoga unaotokana na kuishi ktk nchi ambayo vyombo vya dola vinatuhumiwa kung'oa watu meno,kucha na hata kuua wenye mawazo mbadala!
  7. S

    Zitto kutua Tabora Jumamosi: Mapokezi Makubwa yamsubiri

    Ni wakati sahihi sasa kwa CDM kutoa hukumu/uamuzi wa sakata la ZK. He is desperate and uncertain. Desperation and uncertainty may transform a person into a lunatic. Right now this guy is being used and abused without figuring out what will be the end of this saga typical stiff-necked fool! By...
  8. S

    Mbowe, Slaa Watofautiana kuhusu Zitto...

    Mpaka sasa ZK amtakuwa au anatakiwa awe amejua kuwa 'team zitto' na spin projects zake hazitafanikiwa. Si rahisi kupambana na public opinion ambayo mara zote huwa sahihi. Mara hii ni public knowledge kwamba ZK ni msaliti mwenye ndoto kubwa kuliko upeo wake. Utetezi kuwa sijui alichukua kadi...
  9. S

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    ZZK usiingie humu kinyemela-hebu kuwa brave enough ku-exchange notes na wana JF.Umeiga tabia mbaya ya wanasiasa uchwara na wanasiasa majambazi kuandaa na kugharamia 'mapokezi' yao wenyewe. How long are you going to sustain this? Are your bankrollers permanent? Grow up bimbo!
  10. S

    Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

    Zitto Kabwe ni mtu aliyechanganyikiwa,hajui atapata vipi umaarufu utakaotosha kumpa Madaraka makubwa nchini. Bahati mbaya kwake elimu yake ipo kwenye makaratasi ya vyeti tu na sio kichwani. Bahati mbaya kwake pia ni kwamba he is obsessed with personal populariy,gain and interests badala ya...
  11. S

    Warioba: Baadhi ya wabunge walitoa lugha za kuudhi

    Kama kuna watu ambao hawakutakiwa kuingia kwenye bunge ka katiba nia hawa wabunge wa bunge la JMT.ingefaa na inapaswa wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii (wakiwemo wabunge wa bunge la JMT wakijiona wanafaa) wagombee mahsusi kwa ajili ya kuwakilisha makundi hayo ya kijamii kwenye bunge...
  12. S

    Zitto na kamati yake ya PAC walikuwa hawajui walitendalo?

    Kwa nini wengi wetu hawataki kutumia akili kidogo tu kujadili issue hii ya ruzuku? Au ndo products za kata zimeshatamalaki jf! Wengine wanadai Zitto anaonewa,wengine wanadai vyama havijakaguliwa vyama vinadai vimekaguliwa, na mwishowe wachangiaje wanafuata mioyo yao kuhitimisha. Ukweli ni...
  13. S

    Nape 'eti' amshtukia Zitto kuhusu ukaguzi wa vyama

    Chanzo pendwa.......!!!!!!!!!!!!!!!!Nape anajua hesabu zilizojenga pale Umoja wa Vijana?
  14. S

    vodacom na afande kova

    Alichofanya Kova ni kuweka wazi ukweli kwamba viongozi na watendaji wengi Tanzania wanatumwa na wanalipwa na watu na makampuni binafsi na wamefika mahali hawana hata aibu kujitangaza. Pinda naye huwa anavaa T-Shirt za hawa Vodacom katika shughuli zake. Viongozi na watendaji wetu wana...
  15. S

    Wizi wa mwananchi tcra inaujua?

    Kwa kuwa zoezi hili linafanyika kupitia mfumo wa elektroniki ni wazi kwamba linapotokea tatizo wanapata taarifa wakati huohuo,pia kama waliweka program ya kukata pesa pale msomaji anapotuma kwa makosa wameshindwaje kuielekeza program hiyohiyo kutokata pesa pale ambapo huduma hiyo haipatikani...
Back
Top Bottom