Zitto kutua Tabora Jumamosi: Mapokezi Makubwa yamsubiri

Status
Not open for further replies.
Jamaa Zotto yuko vizuri sana ktk siasa anaongea kitu unamuelewa sio kama huyo slaa yy nikelele tu na hana hoja yakuanzisha mwenyewe mpaka aanzishiwe
 
umeniwahi kuuliza hl swali kamanda! Mbali na uhaini wake, kwa hili tu la kufanya mikutano ambayo hairatibiwi na Cdm anastahili kutimuliwa. Hv CC mnasubiri nn mbona anazidi kusambaza fitina miongoni mwa wanachama na wapenzi wa CDM?

Wanaoratibu ni wana chama watiifu wapenda demokrasia ndani ya Chadema na ndio tunaotoa pesa pesa kwa ajili ya ukombozi wetu ndani ya chadema
 
Ni wakati sahihi sasa kwa CDM kutoa hukumu/uamuzi wa sakata la ZK. He is desperate and uncertain. Desperation and uncertainty may transform a person into a lunatic. Right now this guy is being used and abused without figuring out what will be the end of this saga typical stiff-necked fool! By the way, without party backing who pays the bill for his adventures? Obviously 'team Zitto' get the crumbs out of the financiers of ZK project to destroy CDM and will disappear from this fiasco when or even before this is over-which is probably sooner rather than later!
 
Wanaoratibu ni wana chama watiifu wapenda demokrasia ndani ya Chadema na ndio tunaotoa pesa pesa kwa ajili ya ukombozi wetu ndani ya chadema

Na hao wanachama wanatumia bendera gani? mlivuna wanachama wangapi Kigoma na kasulu?

Zitto anasema 'sitafanya makosa aliyoyafanya Kabouru...akueleza wanachama kwa nini alifukuzwa cdm....'

Zitto anasema nitakuwa wa mwisho kukisaliti chama....hivi ndivyo? Nia yake nini?
 

Attachments

  • 1387719506837.jpg
    1387719506837.jpg
    15.4 KB · Views: 65
nauliza tu hivi zitto aliwahi kufanya ziara za aina hii mwaka gani, yaani ziara zisizo na itikadi ya chama (chadema) , kwanini wakati huu??

Nasikitika sana juu ya anayoyafanya Zitto juu ya CDM. Labda anaenda kukagua uhai wa chama kama katibu mkuu alivyoenda kukagua.
 
Yaani mkuu, nadhani enough is enough, sielewi kwanini chadema wanachelewesha uamuzi wa zito wakati jamaa is sabotaging the party on bright day light?
Kuna jambo zito linawapa kigugumizi nalo ni kwamba jamaa hana hatia mbele ya mashitaka yake .
 
Anafadhiliwa na nani?
Halafu alidai angemjibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu sinema yake ya watu wenye akaunti nje ya nchi kabla ya mwisho wa kikao cha Bunge kilichoisha!!!!
Lini tutaacha kujadili huu -----?
 
Hiyo mikutano ina faida gani kwa Chadema?huyu ni kutupa kabisa

Huyo ZZK naona ni muharibifu, sijaona sababu ya kucharuka jinsi alivyocharuka, nadhani anatafuta sababu ya 'kuiua' Chadema ili kutimiza unabii wa Wasira.

Kwa huu ujinga anaoufanya Zitto, akifukuzwa itakuwa ni sawa tu.
 
The fact that Zitto quits the cdm and joins another party will justify his hypocricy. This will be a good point to make that Zitto was prepared to ruin our second liberation movement. Neither EL nor Zitto will be a threat to Dr. Slaa. What we need so far is an independent election commission and updated book of voters. Sorry I am not replying on behalf of ben8. this is my personal views.

Stupid views...........
 
Huyo ZZK naona ni muharibifu, sijaona sababu ya kucharuka jinsi alivyocharuka, nadhani anatafuta sababu ya 'kuiua' Chadema ili kutimiza unabii wa Wasira.

Kwa huu ujinga anaoufanya Zitto, akifukuzwa itakuwa ni sawa tu.

Jamani mbona mnakosa hakili nyie....zzk ana uhuru wake kama kiongozi..mbona mbowe na slaa wanazurura hamsemi? acheni ujinga
 
Ila cjaelewa, yeye anaenda Tabora kama nani?
Maana naimani kazi ya kuimarisha chama inahusu cc/ viongozi wa chadema, au amealikwa?
Na kwa nn msaliti anawazidi nguvu wasio wasaliti?
Na kama akipata mapokezi kama ya Kigoma basi CC ya cdm ina kasoro.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom